Freiston
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 302
- 340
Nadhani majibu washayapata... now kiko na spidi ya 18kph.... MUNGU ametenda kazi yake.Trust me pamoja na hili dua baya toka kwa jirani mwema hakitabamiza ng'o!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani majibu washayapata... now kiko na spidi ya 18kph.... MUNGU ametenda kazi yake.Trust me pamoja na hili dua baya toka kwa jirani mwema hakitabamiza ng'o!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ni kweli kimbunga kimepunguza nguvu kutoka 100 kph hadi 18 kph. Lakini inasemekana kwamba mvua kubwa itanyesha huko. Mtoe shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwaokoa.
Cc MK254
Ila wakenya🤣🤣🤣....mlitamani kiongeze kasi?
Nimelipenda sana hili jibu na swali lake..Bado TZ inakunyima usingizi sio. Unataka wajiandaaje, wahame DSM?
Nyie mmemaliza kujiandaa na Al-shabab?
Mnaodhani Magufuli amekufa kwa corona ni nyie. Sisi tunajua amekufa kwa tatizo lingine kabisa. Ndiyo maana maisha aliyoyaasisi yanaendelea.Hivi hivi ndivyo mlipuuza corona na kusema ipo kwenye mapaipai, hatimaye mkaishia kuwa na msiba wa kitaifa.
Matangazo hujayasikia? Hamia kenyaWatanzania sisi ni waajabu nilitegemea kusikia matangazo ya mara kwa mara kuwaambia wananchi wajihadhari hiyo jumatatu wasiende ufukweni lakini kila napoangalia ni nakuta bongo flavour tu
@Mshana Jr naona mmetuma upepo kinzani mzee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe na jopo lako mmefanya kazi kubwa ni muda muafaka kuweka sanamu lako hapo msataTrust me pamoja na hili dua baya toka kwa jirani mwema hakitabamiza ng'o!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaodhani Magufuli amekufa kwa corona ni nyie. Sisi tunajua amekufa kwa tatizo lingine kabisa. Ndiyo maana maisha aliyoyaasisi yanaendelea.
Tanzania njia zenu za kujikinga na corona hazitatumika kamwe. Bali mbinu zetu ndo zinatumika na zitatumika ulimwenguni kote.
Nyie chochote mnachokisema mnaonwa kama majuha tu, maana nakumbuka ni nyie mlikua mnasema Magufuli yuko busy anafanya kazi, hawezi kwenda sijui Magomeni mara kariokoo...ujuha uliokubuhu...
Kwenye hili la corona mnaonwa kama kituko na ulimwengu, Burundi waliiga huo ujinga corona ikalamba rais wao pia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakenya bhana yani wanatamanii kingekuwa kinakuja kwao ili waombe mikopo imf daah[emoji848]
mkuu acha kulia lia hadi dakika hii ile nyomi iliyoenda kumuaga magufuli haijadondoka kama mlivyotabiri. Tanzania hakuna corona. Dunia imeshatuelewa ndo maana lockdown na social distance zimeanza kupuuzwa mfano mzuri cheki kule england maandamano ya mashabiki kupinga ligi ya esl
Viva Magufuli
Hakuna aliyetabiri nyomi itaondoka, kuna issues kadhaa mnapaswa kuelewa, corona haiuwi kila mtu anayeathirika, wanaokufa ni wale wenye matatizo kama ya moyo na mambo mambo mengine makubwa.
Pili, walalahoi wengi hamuwezi kuathirika maana mpo huko huko na mnaishia huko huko, siku inaisha mnaonana nyie kwa nyie tu huko Buza, sio kama rais ambaye kwa siku anasalimiana na watu wa kimataifa zaidi ya kumi, kwa mfano JPM ambaye alikua amekaidi tahadhari zote halafu uzingatie alivyokua anatembelewa na Wachina na Wahindi wanaosaka vitalu na dili zingine kwenye hilo shamba lenu la bibi. Hapo uviko ilikua inamumezea mate tu, hapakua na budi.
Uviko inapita na wale wanaotengamana sana na wageni......Naona kuna baadhi yao wameanza kutia akili baada ya msiba wa kitaifa, huyu mzee wa nyungu
![]()
mkuu hio picha uliyoitumia ishapitwa na wakati just imagine JK anayependa barakoa juzi bungeni hakuvaa.
Halafu usikariri sio wote tuliomo JF tunaishi dar au ndipo unapofikiaga ukija bongo?
Kudondoka kwa nyomi kulitabiriwa na wengi mno hasa wakenya forums mbalimbali na hao viongozi hapo pichani mliwapa wiki tu wataanza dondoka mmoja baada ya mwingine ila naona mmebadili gia angani. Mama Samia kaonana na hao viongozi pia ila bado yupo imara.
Hebu kuja majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko uone kama kuna zile kelele za korona. Kale kamafua tumekakimbiza kwa nyungu
Mkuu piga nyungu hadi vimbunga vitawaogopa kama sie
Sio lazima wote muishi Dar, nikitolea mfano wa Buza namaanisha walalahoi wote hata iwe anaishi Morogoro au wapi...
Narudia tena, corona haidondoshi watu kwa maelfu, wengi wanaumwa na kupita tu, hata mimi hapa nina uhakika imeshanipita, kuna kipindi nilipelekeshwa na mwili ila siku chache baadaye nikapata nafuu. Kwa hivyo hakuna aliyetabiri mtakufa maelfu, japo ni kweli kama corona ingekua ya kuua, aisei mngekufa wengi sana maana nyie mlijichokea mapema sana kwenye hivi vita na kushindwa kuchukua tahadhari za kisayansi, pia kupima au kutolea takwimu kama mataifa yote yanavyofanya duniani.
Mpaka sasa tangu corona ije duniani, ni mataifa mawili tu yamepoteza marais, mataifa yenyewe ambayo yalijichokea kwenye vita mapema.
aiseee mawili tu wapi na wapi au chad ni ka kijiji tu.
Acheni kukimbia tabiri zenu. Huko buza unapofikia mkuu waambie wakutembeze maeneo mazuri sio kila siku mnashinda jalalani mpaka unahisi walalahoi wote wanaishi kama hapo
Kashindwa Corona watu tunadunda, mtaani hakuna barakoa wala nini, itakuwa jobo, Mungu yu pamoja nasi Watz
Tanzania naifahamu sana, nimetembelea na kukatiza mikoa na wilaya nyingi zaidi ya wengi wenu walalahoi mliozaliwa eneo moja na mpaka mnafika watu wazima hamjatoka hapo hapo. Kunao wengi wa mikoani hata hiyo Dar huwa mnaiskia tu, na mkibahatika kulipiwa nauli na kufikia Ubungo mnakenua na kushangaa shangaa utadhani mumetokea maporini, kwanza sasa mlivyowekewa flyover hapo Ubungo ndio huwa mnapigiwa mapicha.....hehehehe
Mkuu ulitabiri ya kimbunga umeona kimbunga Mungu kakizuia unahamia korona, tupe habari za kimbunga kwanzaTanzania naifahamu sana, nimetembelea na kukatiza mikoa na wilaya nyingi zaidi ya wengi wenu walalahoi mliozaliwa eneo moja na mpaka mnafika watu wazima hamjatoka hapo hapo. Kunao wengi wa mikoani hata hiyo Dar huwa mnaiskia tu, na mkibahatika kulipiwa nauli na kufikia Ubungo mnakenua na kushangaa shangaa utadhani mumetokea maporini, kwanza sasa mlivyowekewa flyover hapo Ubungo ndio huwa mnapigiwa mapicha.....hehehehe