Kimbunga kizito kinakuja kutandika Dar es Salaam Jumatatu ijayo. Mjitahadhari

Kimbuga ni masuala ya sayansi, wekeni pembeni hayo madude ya akina Kinjeketile.

Dah! Halafu Mombasa yetu hivi mumejiandaaje....maana si ndio huko huko Pwani...cc: Tony254 kama sijakosea, si kwenu huko??
Kimbunga sidhani kama kitafika Mombasa. Otherwise ungeona media za Kenya zikitangaza habari hii. Pia meteorologists wa Kenya wangekuwa wametoa tahadhari tayari. Halafu direction ya kimbunga huwa hakijulikani kwa uhakika maana kinaweza kubadilisha mkondo wakati wowote so tuombe Mungu kwamba hakitafika maeneo ya Kenya. Wataalam wa Kenya hawana wasiwasi kwa hivyo hata mimi sina wasiwasi. Wataalam wa TZ ndio wanaotoa tahadhari maana kimbunga kitatua Dar es Salaam juma tatu.

Watanzania sisi ni waajabu nilitegemea kusikia matangazo ya mara kwa mara kuwaambia wananchi wajihadhari hiyo jumatatu wasiende ufukweni lakini kila napoangalia ni nakuta bongo flavour tu
Acha uchuro
Huku dar jua kali na joto Na wingu ni la masika. linapiga.walisema tar 24/25 kiko wapi?
Tuone hiyo j3
 
Acha uchuro
Huku dar jua kali na joto Na wingu ni la masika. linapiga.walisema tar 24/25 kiko wapi?
Tuone hiyo j3
Kimbunga kitapiga tarehe 26 sio 24. Wewe endelea kupiga domo tu.
 
Kimeshapungua nguvu..
Wanasema kitatua na upepo wa 60 kph. Hivi wewe unajua upepo wa 60 kph unaweza kungoa paa la nyumba na miti? Halafu kinatua na mvua kubwa ukanda wote wa Africa mashariki. Wiki hii kutakuwa na ongezeko la mvua katika maeneo yaliyopakana na ziwa victoria
 
WANDUGU Mungu ni mwema kimbunga kimeshapungua ukali kutoka 100kph mpaka 18kph kutokana na taarifa za mamlaka tuzidi kumuomba Mungu kipishe mbali
 
WANDUGU Mungu ni mwema kimbunga kimeshapungua ukali kutoka 100kph mpaka 18kph kutokana na taarifa za mamlaka tuzidi kumuomba Mungu kipishe mbali
Weka ushahidi hapa.
 
WANDUGU Mungu ni mwema kimbunga kimeshapungua ukali kutoka 100kph mpaka 18kph kutokana na taarifa za mamlaka tuzidi kumuomba Mungu kipishe mbali
Naona ni kweli kimbunga kimepunguza nguvu kutoka 100 kph hadi 18 kph. Lakini inasemekana kwamba mvua kubwa itanyesha huko. Mtoe shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwaokoa.

Cc MK254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…