Kimbunga kizito kinakuja kutandika Dar es Salaam Jumatatu ijayo. Mjitahadhari

Tanzania huu ugonjwa wa Corona hauna madhara, Ata paka haogopi tu nashangaa nyie Wakenya kutwa kuutaja taja, JANA Simba kawasha moto Misungwi watu wanajiachia, wanakula raha za Dunia hakuna barakoa wala ushuzi, JPM kafa kwa ugonjwa wa moyo ndio maana mambo yetu yanatuendea vizuri, Maclub tunaenda, viwanjani tunaenda, kazi tunafanya 24hrs, Kiufupi Corona haijabadilisha maisha yetu, ila sisi Watanzania tumeibadilisha Corona na kuifanya tulivu, Mungu yu pamoja nasi kimbunga Jobo kinakimbia chenyewe
 
Ulivyoindika hii habari kishabiki Sasa,utadhani Tanzania 🇹🇿 ni nchi Kama yenu inyoandamwa na mikosi ya laana,hili Taifa tumelikabidhi kwa Mungu.sio kwamba hatutapata majanga,Ila sio rahisi
 
Acha kubishana na Mpumbavu huyo
Tanzania Anaijua Mpuuzi huyo Hata mpakani hapajui Kila kitu kwake ni Google na Humu humu JF
Kwani unaona kama Mkenya kutembelea hilo linchi lenu bovu ni jambo kubwa? Mbona kuna maelfu ya Wakenya wanaoishi huko na kufanya kazi huko ama hujui hilo? Ama unaona kama Mkenya kuja Tanzania ni jambo gumu sana?
 
Waombe kiishsie huko huko mbali maana hawa majirani huwa hawajajiandaa kwa lolote zaidi ya kulaumu mabeberu kwenye kila janga linalowakumba.
Nakumbuka walivyotelekeza wahanga wa tetemeko la ardhi, hatari sana.
Iko wapi sasa
 
Dua ya kuku hainpati mwewe. Corona imeogopa kuvuka boda ya kenya kuja tz ndio huyo kimbunga jobo atawezana? Usishangae kikapita apa kikaenda kuharibu mombasa
Umetisha kimeishia kudemka huko baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…