KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Muacheni mtt wa kiganda ajilie vyake maana sasa ndio real boss lady maana daimond wenu amekazana kuvikwichkwich vinuka mkojo...bampa kwa bampa.
 
Bwa! Ha! Ha! Ha!

Dah...mazee umenichekesha sana.

Unajua sikuwa nategemea kuona mambo ya 'Mange keshasema' huku [sijui hata kwa nini].

Nimecheka hadi nimepaliwa na hii waffle nnayoila hapa.

Ila kama Mange keshasema ndo basi tena...huo ndo ukweli wenyewe.

😀😀😀😀😀😀
Daaa nimecheka sana kama kuna jambo Mange kazungumzia/kasema mtujuze tusibishe tena wala kuhoji
 
Vipi mbona na wewe ushahitimisha kua nampenda Zari?
Sina muda na celebrities aisee, they add no value kwenye maisha yangu. Hayo ya sijui ivan sijui ndo nani unayajua wewe, ungekuja na hizo picha za hiyo swimming pool ningekuelewa.

Umeongea ka vile una uhakika alafu unamalizia kwa sentensi inayoonyesha speculation, kumbe huna uhakika then. Mkuu ya Diamond naomba nimuachie yeye, hizi story hazinisisimui kabisa, njoo tubishane kwenye jukwaa la technology au siasa.
Maneno mengiii halafu hakuna cha maana ulichoandika, kama uwajui na uwafatilii kwanini uli-comment kitu usichokijua.

Upo jukwaa la 'celebrities' halafu halafu unasema huna muda nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haya nenda kwa Zari kakuekea picha ambazo unasema ni 'feki,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahaaaaa wap marehemu ivan wish ungekuwepo? Mlitoa pove eti zari alimwacha ivan kisa mzembe kitandani ana kitambii sasaa mmeona?

Rip ivan
Apumzike mahala pema kaka wa watu mwema.
Aliachana nae kwa mbwembwe akifikiri kafika kwa Chibu...yako wapi?
Kaka wa watu kafa kwa stress sababu yake,sijui ataenda wapi!
 
Labda anatafuta sababu ya kumwacha zari...KULEA WATOTO 5 sio kazi ndogo....TENA 3 wa baba MWINGINE
 
huyu angesubiri kwanza apate uhakika wa jambo husika kuliko kukimbilia mitandaoni
 
Hivi leo hii kusalitiwa na Mpenzi wako ni jambo la Kushangaza au kutaka Watu waanze kulijadili? Wanaume ni Wahuni na Wanawake nao ni Wahuni vile vile hivyo Mpenzi wako anakuwa au anahesabika ni wa Kwako pale tu unapokuwa nae ndani Kwako / Mwako ila akikuaga tu na kutoka nje ya Nyumbani jua ya kwamba huyo ni wa Wote. Tutafute tu Pesa / Hela / Fedha na kamwe mambo ya Mapenzi yasitufanye tukajisahau kwamba maisha si Mapenzi tu peke yake bali kuna Maendeleo mengine pia tunahitaji kuyafanya ili tukimbizane na wale waliotuacha.

Mimi mwenyewe hapa naweza nikawa nachapa ( na type hivi ) lakini kumbe huko Mjini alipo Demu wangu labda sasa hivi ndiyo anamkatikia Jamaa ( Basha wake ) Viuno utadhani Bombardier imeshika Kasi inataka kupaa kuelekea Songwe Airport. Je na Mimi niache kufanya mambo yangu niwe na Wivu nae? Ninachojua tu ni kwamba wa huko mjini Watanibandulia ila akirudi tu Kwangu Mimi sasa ndiyo nambandua Kunakotukuka hivyo ngoma inakuwa sare sare.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shkamoo kaka Genta!
 
shoga jua hata ivan yalimshinda haya maana alifikia wakati anamsalit kwa maradiki wa karibu sembuse huyu wa mbagala?
Yetu machoooooo. Mie nataka kumuona Misa baby akijimwayamwaya na Chibu kwa raha zake.
Hihiiiiiiiii
 
So far Zari keshajibu kuwa hiyo picha alipigwa na mke wa jamaa aliyeko naye ktk swimming pool.
Pia kaweka picha ya jamaa na mke wake ktk hilohilo swimming pool.
Hehehe leo rahaaaaaa.
The boss lady anaonekana kuweweseka kabisaaaa.....
Ebu tazama ata maandiko yake yanaonekana alikua anatetemeka kwa hofu ya kubinuliwa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shkamoo kaka Genta!

Marahaba. Halafu nitakumaindi Dada yangu sasa hivi kwani sipendi na hata huko nyuma nimelikemea hili kuwa naomba ID yangu ikiandikwa msiwe mnaifupisha kwa kuiita au kuiandika kwa Kifupi kuwa Genta. Andikeni tu kwa kirefu kama ilivyo GENTAMYCINE sawa Mpendwa Dada yangu wa ukweli? Mbona Mimi huwa sifupishi ID'S zenu kwa mfano ningetaka kufupisha basi ID ya Mumeo Mtarajiwa ningekuwa naiita au naiandika hivi ' The Booo ' badala ya The bold. Natumai umenielewa Nifah.
 
Dimond kamaindi baada ya Zari kusema kuwa Nillan ni mtoto wa Ivan

Sasa Dimond anatafuta sababu ya kumwaga manyanga.
 
Back
Top Bottom