Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Muacheni mtt wa kiganda ajilie vyake maana sasa ndio real boss lady maana daimond wenu amekazana kuvikwichkwich vinuka mkojo...bampa kwa bampa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa nimecheka sana kama kuna jambo Mange kazungumzia/kasema mtujuze tusibishe tena wala kuhojiBwa! Ha! Ha! Ha!
Dah...mazee umenichekesha sana.
Unajua sikuwa nategemea kuona mambo ya 'Mange keshasema' huku [sijui hata kwa nini].
Nimecheka hadi nimepaliwa na hii waffle nnayoila hapa.
Ila kama Mange keshasema ndo basi tena...huo ndo ukweli wenyewe.
😀😀😀😀😀😀
hahahahaha mbavu zangu.Kwani Mange yeye anasemaje?
hahahahahaha kwakweli Kumbe Mange ameshasema? basi mimi nilisema kabla ya Mange kusema...Kama Mange keshasema kuwa ina shida wewe Ruta ni nani hadi ubishe bana?
Maneno mengiii halafu hakuna cha maana ulichoandika, kama uwajui na uwafatilii kwanini uli-comment kitu usichokijua.Vipi mbona na wewe ushahitimisha kua nampenda Zari?
Sina muda na celebrities aisee, they add no value kwenye maisha yangu. Hayo ya sijui ivan sijui ndo nani unayajua wewe, ungekuja na hizo picha za hiyo swimming pool ningekuelewa.
Umeongea ka vile una uhakika alafu unamalizia kwa sentensi inayoonyesha speculation, kumbe huna uhakika then. Mkuu ya Diamond naomba nimuachie yeye, hizi story hazinisisimui kabisa, njoo tubishane kwenye jukwaa la technology au siasa.
Apumzike mahala pema kaka wa watu mwema.Ahaaaaa wap marehemu ivan wish ungekuwepo? Mlitoa pove eti zari alimwacha ivan kisa mzembe kitandani ana kitambii sasaa mmeona?
Rip ivan
Kuna tatizo kwani? Mimi mbona sioni ajabu?Utajisikiaje na ww raia wakikuombea uachane na the Bold?,wanawake pendaneni bhana...
Kumbe ndio maana sala yangu imekubalika? HahahaHAJUI SALA ZA WABONGO ZINAVYOSIKILIZWAGA NA MUNGU
Kwani Zari hana watoto kwa aliyekuwa X wake the late Ivan?Lakini Hamisa ana mtoto kwa x wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shkamoo kaka Genta!Hivi leo hii kusalitiwa na Mpenzi wako ni jambo la Kushangaza au kutaka Watu waanze kulijadili? Wanaume ni Wahuni na Wanawake nao ni Wahuni vile vile hivyo Mpenzi wako anakuwa au anahesabika ni wa Kwako pale tu unapokuwa nae ndani Kwako / Mwako ila akikuaga tu na kutoka nje ya Nyumbani jua ya kwamba huyo ni wa Wote. Tutafute tu Pesa / Hela / Fedha na kamwe mambo ya Mapenzi yasitufanye tukajisahau kwamba maisha si Mapenzi tu peke yake bali kuna Maendeleo mengine pia tunahitaji kuyafanya ili tukimbizane na wale waliotuacha.
Mimi mwenyewe hapa naweza nikawa nachapa ( na type hivi ) lakini kumbe huko Mjini alipo Demu wangu labda sasa hivi ndiyo anamkatikia Jamaa ( Basha wake ) Viuno utadhani Bombardier imeshika Kasi inataka kupaa kuelekea Songwe Airport. Je na Mimi niache kufanya mambo yangu niwe na Wivu nae? Ninachojua tu ni kwamba wa huko mjini Watanibandulia ila akirudi tu Kwangu Mimi sasa ndiyo nambandua Kunakotukuka hivyo ngoma inakuwa sare sare.
Labda anatafuta sababu ya kumwacha zari...KULEA WATOTO 5 sio kazi ndogo....TENA 3 wa baba MWINGINE
Yetu machoooooo. Mie nataka kumuona Misa baby akijimwayamwaya na Chibu kwa raha zake.shoga jua hata ivan yalimshinda haya maana alifikia wakati anamsalit kwa maradiki wa karibu sembuse huyu wa mbagala?
The boss lady anaonekana kuweweseka kabisaaaa.....So far Zari keshajibu kuwa hiyo picha alipigwa na mke wa jamaa aliyeko naye ktk swimming pool.
Pia kaweka picha ya jamaa na mke wake ktk hilohilo swimming pool.
Hehehe leo rahaaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shkamoo kaka Genta!