njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
take it from me kishanuka hukooNi kweli au unamjibu Maulid Kitenge kuchafua Brand za Timu usioipenda?
Nilikupa report ya kambi kutokuwa na vyoo hadi Yesu moloko akawa anakojoa hovyohovyo kwa nini usiniamini kwa hili, tayari uto wanambembeleza kocha msaidizi wa Esperance ajiunge naoKweli hii ni njaa kali
Kama tukitumia tukio ulipost humu kuzingizia mtu anakojoa kumbe kakaa anafunga viatu, basi sina budi kusema wewe ni moja ya watu wa hovyo humu. Halafu si ndio wewe ulipost humu kuwa Djuma Shaban hatokuja Yanga? Acha tabia za kike za uongo na umbeaNilikupa report ya kambi kutokuwa na vyoo hadi Yesu moloko akawa anakojoa hovyohovyo kwa nini usiniamini kwa hili, tayari uto wanambembeleza kocha msaidizi wa Esperance ajiunge nao
Yesu feki huyo. Yesu hawezi kuwa UtoNilikupa report ya kambi kutokuwa na vyoo hadi Yesu moloko akawa anakojoa hovyohovyo kwa nini usiniamini kwa hili, tayari uto wanambembeleza kocha msaidizi wa Esperance ajiunge nao
Njaa kali hatari-Names represents realityNilikupa report ya kambi kutokuwa na vyoo hadi Yesu moloko akawa anakojoa hovyohovyo kwa nini usiniamini kwa hili, tayari uto wanambembeleza kocha msaidizi wa Esperance ajiunge nao
walimalizia pesa yake na wakalia sana wakipiga magoti ndiyo maana Mr Djuma akakubali kujaKama tukitumia tukio ulipost humu kuzingizia mtu anakojoa kumbe kakaa anafunga viatu, basi sina budi kusema wewe ni moja ya watu wa hovyo humu. Halafu si ndio wewe ulipost humu kuwa Djuma Shaban hatokuja Yanga? Acha tabia za kike za uongo na umbea
punguzeni ndoto za alinanchaHalafu Luis wa Simba nasikia kesho anajiunga kwenye timu yake mpya ya Yanga. Mlichokifanya kwa Morson Yanga wameshafanya Revenge.
Pia Chama nae msimu ujao watajiunga Yanga.
Dunia ya leo bado kuna watu wanabembeleza makochaNilikupa report ya kambi kutokuwa na vyoo hadi Yesu moloko akawa anakojoa hovyohovyo kwa nini usiniamini kwa hili, tayari uto wanambembeleza kocha msaidizi wa Esperance ajiunge nao
Yule hana akili za ajibu mdauHalafu Luis wa Simba nasikia kesho anajiunga kwenye timu yake mpya ya Yanga. Mlichokifanya kwa Morson Yanga wameshafanya Revenge.
Pia Chama nae msimu ujao watajiunga Yanga.
Kuliko kwenda Morocco ukajisaidie nnje ni bora kubaki hapa hapa Jangwani,kama kujisaidia ni nnje kulala itakuaje?!!..Labda aondoke GSM ndio nitastuka! Mbumbumbu msimu huu tumewakamata kila kona!
Huyu anafunga viatu kule kwenye uzio au macho yako hayaoni kama yanguKama tukitumia tukio ulipost humu kuzingizia mtu anakojoa kumbe kakaa anafunga viatu, basi sina budi kusema wewe ni moja ya watu wa hovyo humu. Halafu si ndio wewe ulipost humu kuwa Djuma Shaban hatokuja Yanga? Acha tabia za kike za uongo na umbea
KAKOJOE UKALALE mida ya watoto kulala hiiMods muwe mnafuta nyuzi za huyu mwanamke.
Jukwaa la sports analifanya kama la celebrity..!