Kimenuka huko morocco:kocha msaidizi na wengine wawili waacha kazi uto

Kimenuka huko morocco:kocha msaidizi na wengine wawili waacha kazi uto

Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao.

Mbali na kocha msaidizi lakini pia mtaalamu wa mazoezi ya viungo Jawad Sabri na daktari wa viungo Fareed Cassem kwa sababu mbalimbali wameamuama kuachana na timu hiyo .

Nikiripoti kutoka katika kambi hii isiyo na vyoo ni mimi NJAAKALI BIN HATARI
Wachukueni nyie Simba.Kila siku uache kuizungumzia Yanga tu.Mmbea kama mwanamke wa kizaramo
 
Uthibitisho si huo wa picha au unatak na video? Hii itabidi ulipie
Mimi kwenye picha sioni mkojo ukitoka na wala sioni mkono ukiwa umeshika sehemu zake za siri. Je ni kipi kinachokuaminisha kuwa anakojoa na sio amekaa tu
 
Back
Top Bottom