Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema


So there is more to it than just meets the eye?

Hahahaaaa! Man oh man.

I’m waaaay out of the loop.

Ila kama wote wako mji mmoja kwa nini wasikutane wazipige tu?
 
Utanifumua mshono shenzyyyy wewe!!!
 
Aaah OK OK...umenyambua vizuri...hakuna talaka maaamaaaae!
 
So there is more than just meets the eye?

Hahahaaaa! Man oh man.

I’m waaaay out of the loop.

Ila kama wote wako mji mmoja kwa nini wasikutane wazipige tu?
Ngabu boy, is there anyone amongst them with such guts???
Wadada wa mjini wao upashkuna ndio zao, wachambane mitandaoni ndio raha kwako. Sisi wengine tunajiburudikia tuu.

Imepita 40 ya salha soon there is another scene to come just keep your ears open.
 
Haaahaaa uwiii..
NAULIZA TU!!
Mana katika miji ya ajabu niliwahi fika ni Pemba!!
na hayo mapishi sijawahiga kuona huko kwao!!

Sehemu naumwaga nikiambiwa naenda ni Pemba.
Ila ndo kazi utafanyaje!!
IT IS A DULL PLACE EVER!!
airport madimbwi tuuu!!
woooooih!!
sijajua wanaoenda kwa maboti sijui meli.
woooooih ATI WANAWAKE WA PEMBA!!
kiiiiiiipi babu weee atupishe!!
Sio wa kibarazani wala uani!!
Hawafai kwa mavumba Wala ubani.
Kwanza wa huko PEMBA mbali,wapi Ilala hapo!!
Asituondolee focus ya gauni la Sophia the First!!
Atuache kabisa!!
 
Hahaaaaaaaaaaaa kweli
 
Haaahaaa...snowwhite umeniacha hoi
 
Wadada wa mjini katika ubora wao!!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…