witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ile nyumba mbona naambiwa na mtu wa uhakika kuwa sio yake??Aliitambulisha rasmi kwenye 40 ya mtoto wa babu tale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile nyumba mbona naambiwa na mtu wa uhakika kuwa sio yake??Aliitambulisha rasmi kwenye 40 ya mtoto wa babu tale
Haaahaaa...vimbau mbau bwana that's y ni marufuku kunenepa! Yaaan ni sharti hiloo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha...navijua dear..vinajikuza hatari..ila hiki ki Miss perfect kimezidi
Haaahaaa uwiii..Hii hii Pemba au?
NN unafkr ni nguo?
Wala.
Kuna Diamond.
Kuna Bashite
Kuna Wema
Kuna Mama Dangote
Kuna Mange
Kuna Ruge
Kuna Clouds
Kuna Milly Nyampua
Kuna WCB
Kuna Kamati
Af tena
Kuna 40 ya Salah
Kuna Wonder Women
Kuna Birthday ya Juhjuh
Kuna Nyumba ya Zama
VYOOOOTE HIVYO KUSANYA NDO UNAPATA MSHONO WA GAUNI.
Utanifumua mshono shenzyyyy wewe!!!NN unafkr ni nguo?
Wala.
Kuna Diamond.
Kuna Bashite
Kuna Wema
Kuna Mama Dangote
Kuna Mange
Kuna Ruge
Kuna Clouds
Kuna Milly Nyampua
Kuna WCB
Kuna Kamati
Af tena
Kuna 40 ya Salah
Kuna Wonder Women
Kuna Birthday ya Juhjuh
Kuna Nyumba ya Zama
VYOOOOTE HIVYO KUSANYA NDO UNAPATA MSHONO WA GAUNI.
Lete screen hapa...tumchambe na humu!Ona sasa Ndepanya ameshaanza kufukuliwa kaburi lake. Ugomvi wa paka panya nae huyoo sio kutafuta kuliwa huko
Bosslady wa kujikutaga tuu[emoji15] [emoji15]Mh hongera yake boss lady
Aaah OK OK...umenyambua vizuri...hakuna talaka maaamaaaae!Fredy hajafika kutoa talaka kisa eti ipo siku neema atarudi kwake no way.
Iko hivi adhabu kwa mwanamke korofi ni kutomtaliki....,..ukimtaliki atakuwa huru Sasa ww unamnyea haswaaaa no talaka hakuna kuolewa tena. Ataishia kufanya tuu miaka yote ila ndoa hapat tena.
Ngabu boy, is there anyone amongst them with such guts???So there is more than just meets the eye?
Hahahaaaa! Man oh man.
I’m waaaay out of the loop.
Ila kama wote wako mji mmoja kwa nini wasikutane wazipige tu?
NAULIZA TU!!Haaahaaa uwiii..
Ila numbi umemchamba mama ubaya.Kutwa kujasifia ooh sikuchangisha harusi sembuse 40.Kudaka ajira wasafi kakaona mji kameukamata kisawasawa,fasta kakaanza nyemelea cheo cha steve ila msiba wa mtoto wa muna ukamtoa jasho bila kutarajia
Hahaaaaaaaaaaaa kweliNN unafkr ni nguo?
Wala.
Kuna Diamond.
Kuna Bashite
Kuna Wema
Kuna Mama Dangote
Kuna Mange
Kuna Ruge
Kuna Clouds
Kuna Milly Nyampua
Kuna WCB
Kuna Kamati
Af tena
Kuna 40 ya Salah
Kuna Wonder Women
Kuna Birthday ya Juhjuh
Kuna Nyumba ya Zama
VYOOOOTE HIVYO KUSANYA NDO UNAPATA MSHONO WA GAUNI.
Nilistuka ujueeee!!Ila numbi umemchamba mama ubaya.
Hivi kumbe hata kwenye msiba wa mtt wa Muna alijitis kimbele front?
Hebu come again mom......."according to her"Sio catering ana macatering na maduka ya nguo kibao hapa mjini ( according to her)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaahaaa...snowwhite umeniacha hoiNAULIZA TU!!
Mana katika miji ya ajabu niliwahi fika ni Pemba!!
na hayo mapishi sijawahiga kuona huko kwao!!
Sehemu naumwaga nikiambiwa naenda ni Pemba.
Ila ndo kazi utafanyaje!!
IT IS A DULL PLACE EVER!!
airport madimbwi tuuu!!
woooooih!!
sijajua wanaoenda kwa maboti sijui meli.
woooooih ATI WANAWAKE WA PEMBA!!
kiiiiiiipi babu weee atupishe!!
Sio wa kibarazani wala uani!!
Hawafai kwa mavumba Wala ubani.
Kwanza wa huko PEMBA mbali,wapi Ilala hapo!!
Asituondolee focus ya gauni la Sophia the First!!
Atuache kabisa!!
Cc. amu