Queenever
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,051
- 3,018
Ila kama unamoenda mwanao bora usimnyonyeshe. Unaweza mwambukiza bahati mbaya.Hakuna sehemu wanayoshauri hivyo
Mtoto ananyonyeshwa hadi miezi Sita bila kulishwa chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kama unamoenda mwanao bora usimnyonyeshe. Unaweza mwambukiza bahati mbaya.Hakuna sehemu wanayoshauri hivyo
Mtoto ananyonyeshwa hadi miezi Sita bila kulishwa chochote.
Hamna bahati mbaya wanatumia dawa both mama na mtoto.Ila kama unamoenda mwanao bora usimnyonyeshe. Unaweza mwambukiza bahati mbaya.
Ni bora kuacha kabisa kunyonyeshakama mtoto kazaliwa safe. Wazungu wenyewe wanatufanyia sisi utafiti hawana uhakika mama anaweza akawa na michubuko kwenye titi ikapelekea mtoto kuambukizwaHamna bahati mbaya wanatumia dawa both mama na mtoto.
OkNi bora kuacha kabisa kunyonyeshakama mtoto kazaliwa safe. Wazungu wenyewe wanatufanyia sisi utafiti hawana uhakika mama anaweza akawa na michubuko kwenye titi ikapelekea mtoto kuambukizwa
Sidhani kama bado tunapaswa kuuitazama UKIMWI kwa jicho hili.Aisee tutarajie kuumbuka kwa watu wengi. Ile ya kunyonyesha miezi 6 ilikua inafichia watu aibu ya kujulikana.
Naona nimekubutua jiwe lililoenda kubanjua ubongo wako Wa bata wenye kufikiri kuvaa mawigi na kudanga mjini.Mvulana wa miaka 28, hivi utaona umefanyiwa nini zaidi ya kuona maji ya hiki na mdalasini ndio mapenzi?
Eti wa degree unawaachia madomo zege.....pathetic!!! Hii inaonyesha jinsi usivyo jiamini.
Mwanaume wa kweli huoa mke ampendaye na kisha hujitahd kumake the best wife out of her. Na sio kudhania wa darasa la saba ndio the best and wa degree ndio poorest
Angezaa na bakhressa tungekoma. Kumbe kazaa na wale wababa zipu mbovu
Kuuliza na mshangao!swali lingine plizUnajua alama "?!" zina maana gani?
Bado sana dada angu labda kwa badae sana. This is Tanzania Elimu ya darasani shida ndo sembuse umwambie mtu kuwa ukimwi auone ni ugonjwa wa kawaida itakuelewa wakati ameshakaririshwa toka mdogo ni hatari sana. Labda baadae sanaSidhani kama bado tunapaswa kuuitazama UKIMWI kwa jicho hili.
La AIBU!!
DHIHAKA!!
hiki ndicho kinafanya MAAMBUKI YAONGEZEKE BAINA YA WENZA NA KWENDA KWA MAMA NA MTOTO!!
if at all tunatazama waathirika wa Ugonjwa huu kama WATU FULANI WALAANIKA ,KIASI KUJULIKANA NI AIBU.
HATA WAO JUHUDI ZA KULINDA WENGIND HAZITAKUWEPO!!
maaana kimfano,UNAMFUTA MWANAMKE.
ananijijua ameathirika,UNADHANI ATAKWAMBIA?
ili UMTANGAZE?
MAMA AMEAMBUKIZWA ANAJIFUNGUA,ASIYE NA UELEWA ATAJILAZIMISHA KUNYONYESHA MWANAE ILI MSIMNYOOSHEE VIDOLE.
ah sijui kwann HATUKUBALI KUWA KUNA MAGONJWA MENGINE HATARI KULIKO MAAMBUKI I YA VIRUSI VYA UKIMWI.
Mkuu huyo mkeo Wa kipemba si ndo hao mnaowaoa wakiwa na bikra zao eeehNaona nimekubutua jiwe lililoenda kubanjua ubongo wako Wa bata wenye kufikiri kuvaa mawigi na kudanga mjini.
Nakuonya acha kulinganisha wanawake waliotukuka Wa kipemba na miparachuti ya Kimboka,Manzese na Mwananyamala kwa mfuga mbwa. Mwanamke mmoja Wa kipemba ni sawa na wanawake 20,000 Wa huko wenu uswekeni akiwemo hamisa mobeto wenu.
Sasa nakusubiri uje na maneno yako ya shombo ili nikubutue kama si kukuchuruza kisawasawa mpaka maji uite MMA
Ni bora kuacha kabisa kunyonyeshakama mtoto kazaliwa safe. Wazungu wenyewe wanatufanyia sisi utafiti hawana uhakika mama anaweza akawa na michubuko kwenye titi ikapelekea mtoto kuambukizwa
Hamna bahati mbaya wanatumia dawa both mama na mtoto.
Katika huu mjadala nimejifunza hapa ,ina maana wadada wasio nyonyesha inawezekana wakawa waathirika?Ila kama unamoenda mwanao bora usimnyonyeshe. Unaweza mwambukiza bahati mbaya.
Dooh huu ni mwandiko wa mange kabisa. Naujua mwandiko wake kuliko
Ule ni mwandiko wa Mange labda kama wameamua kumkosanisha na Zama lakini jambo ambalo haiwezekani maana ile akaunti amewahi kuipromote kipindi cha maandamano remember?Achana nao Mange yuko vichwani mwao
Muandiko wake ni kama wa dada mmoja alikua waziri wa mange kwenye blogu yake anaitwa KOKU.
Hata yeye alishakubali kuwa ni mmoja wa waliokua mawaziri wa Mange kule U-turn
Na wema kaingizwa kwamba yy ndo aliemshauri shoga ake Zama asishone kwa Mobeto
Nakaziainstagram ni sehemu ya kupiga hela... wapo wadada insta wamejaa tele wanafanya biashara zao.. hawana time na mambo yasiyo na msingi
Kinondoni studio pia yupo karibu na vunja beiNdiyo yupo pale Sinza Makaburini, Sinza Madukani na Kinondoni.