Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Aisee tutarajie kuumbuka kwa watu wengi. Ile ya kunyonyesha miezi 6 ilikua inafichia watu aibu ya kujulikana.
Sidhani kama bado tunapaswa kuuitazama UKIMWI kwa jicho hili.

La AIBU!!
DHIHAKA!!

hiki ndicho kinafanya MAAMBUKI YAONGEZEKE BAINA YA WENZA NA KWENDA KWA MAMA NA MTOTO!!

if at all tunatazama waathirika wa Ugonjwa huu kama WATU FULANI WALAANIKA ,KIASI KUJULIKANA NI AIBU.

HATA WAO JUHUDI ZA KULINDA WENGIND HAZITAKUWEPO!!
maaana kimfano,UNAMFUTA MWANAMKE.
ananijijua ameathirika,UNADHANI ATAKWAMBIA?
ili UMTANGAZE?

MAMA AMEAMBUKIZWA ANAJIFUNGUA,ASIYE NA UELEWA ATAJILAZIMISHA KUNYONYESHA MWANAE ILI MSIMNYOOSHEE VIDOLE.

ah sijui kwann HATUKUBALI KUWA KUNA MAGONJWA MENGINE HATARI KULIKO MAAMBUKI I YA VIRUSI VYA UKIMWI.
 
Mvulana wa miaka 28, hivi utaona umefanyiwa nini zaidi ya kuona maji ya hiki na mdalasini ndio mapenzi?

Eti wa degree unawaachia madomo zege.....pathetic!!! Hii inaonyesha jinsi usivyo jiamini.

Mwanaume wa kweli huoa mke ampendaye na kisha hujitahd kumake the best wife out of her. Na sio kudhania wa darasa la saba ndio the best and wa degree ndio poorest
Naona nimekubutua jiwe lililoenda kubanjua ubongo wako Wa bata wenye kufikiri kuvaa mawigi na kudanga mjini.

Nakuonya acha kulinganisha wanawake waliotukuka Wa kipemba na miparachuti ya Kimboka,Manzese na Mwananyamala kwa mfuga mbwa. Mwanamke mmoja Wa kipemba ni sawa na wanawake 20,000 Wa huko wenu uswekeni akiwemo hamisa mobeto wenu.

Sasa nakusubiri uje na maneno yako ya shombo ili nikubutue kama si kukuchuruza kisawasawa mpaka maji uite MMA
 
Sidhani kama bado tunapaswa kuuitazama UKIMWI kwa jicho hili.

La AIBU!!
DHIHAKA!!

hiki ndicho kinafanya MAAMBUKI YAONGEZEKE BAINA YA WENZA NA KWENDA KWA MAMA NA MTOTO!!

if at all tunatazama waathirika wa Ugonjwa huu kama WATU FULANI WALAANIKA ,KIASI KUJULIKANA NI AIBU.

HATA WAO JUHUDI ZA KULINDA WENGIND HAZITAKUWEPO!!
maaana kimfano,UNAMFUTA MWANAMKE.
ananijijua ameathirika,UNADHANI ATAKWAMBIA?
ili UMTANGAZE?

MAMA AMEAMBUKIZWA ANAJIFUNGUA,ASIYE NA UELEWA ATAJILAZIMISHA KUNYONYESHA MWANAE ILI MSIMNYOOSHEE VIDOLE.

ah sijui kwann HATUKUBALI KUWA KUNA MAGONJWA MENGINE HATARI KULIKO MAAMBUKI I YA VIRUSI VYA UKIMWI.
Bado sana dada angu labda kwa badae sana. This is Tanzania Elimu ya darasani shida ndo sembuse umwambie mtu kuwa ukimwi auone ni ugonjwa wa kawaida itakuelewa wakati ameshakaririshwa toka mdogo ni hatari sana. Labda baadae sana
 
Naona nimekubutua jiwe lililoenda kubanjua ubongo wako Wa bata wenye kufikiri kuvaa mawigi na kudanga mjini.

Nakuonya acha kulinganisha wanawake waliotukuka Wa kipemba na miparachuti ya Kimboka,Manzese na Mwananyamala kwa mfuga mbwa. Mwanamke mmoja Wa kipemba ni sawa na wanawake 20,000 Wa huko wenu uswekeni akiwemo hamisa mobeto wenu.

Sasa nakusubiri uje na maneno yako ya shombo ili nikubutue kama si kukuchuruza kisawasawa mpaka maji uite MMA
Mkuu huyo mkeo Wa kipemba si ndo hao mnaowaoa wakiwa na bikra zao eeeh
 
Ni bora kuacha kabisa kunyonyeshakama mtoto kazaliwa safe. Wazungu wenyewe wanatufanyia sisi utafiti hawana uhakika mama anaweza akawa na michubuko kwenye titi ikapelekea mtoto kuambukizwa
Hamna bahati mbaya wanatumia dawa both mama na mtoto.
Ila kama unamoenda mwanao bora usimnyonyeshe. Unaweza mwambukiza bahati mbaya.
Katika huu mjadala nimejifunza hapa ,ina maana wadada wasio nyonyesha inawezekana wakawa waathirika?
Mie nilikua najua ni usista du tu ,hawataki kuharibu nyonyo zao
 
Muandiko wake ni kama wa dada mmoja alikua waziri wa mange kwenye blogu yake anaitwa KOKU.

Hata yeye alishakubali kuwa ni mmoja wa waliokua mawaziri wa Mange kule U-turn

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Koku sijui atakuwa nani huko gram

Hivi alipewa zawadi yake ila ya ati designer nini ilikuwa begi la mtoto au sijui viatu mange alinunuliwa na Mwamvita Dubai..

Ila lile begi ni kama analo hadi kesho

Viatu havivai aibu fulani hivi
 
Back
Top Bottom