Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hebu nipe hiyo wangu?
Huyu dada namjua toka miaka 10 nyuma huko kwenye 2004 - 2007.

Alikua ni rafiki wa sister ni kakubwa kweli basi tu kujitia utoto

Akaja akaolewa na kaka mmoja anaitwa Fredy anafanyia channel ten.

Akazaa nae Ivan, Neema anafika hapo kwa ajili ya Fredy.

Neema kasota kwenye kuigiza mnoo kasota sana Fredy alimpambania sijui star tv..sijui kwa watu gani ili Sanaa imtoe.

Alivyoanzisha urafiki na kina Aunty kujulikana kidogo mjini akadai talaka na kuanza kudate viben ten.

Fredy mpaka sasa kagoma kutoa talaka anaamini mkewe ipo siku atarudi.

Kwa watu wanaomjua toka long huwa wanamsikitikia tu Fredy.
 
Ooooh sisi wanawake jamani[emoji24] [emoji24] ....mi mtu akinisaidia simfanyii ubaya kamwe!

Maskini utakuta na kamloga mkaka wa watuu
 
Huyo hapo
38740115_1887638914663398_8350363253259370496_n(1).jpg

Inaitwaje 😎😎😎😛
 
Huyu dada namjua toka miaka 10 nyuma huko kwenye 2004 - 2007.

Alikua ni rafiki wa sister ni kakubwa kweli basi tu kujitia utoto

Akaja akaolewa na kaka mmoja anaitwa Fredy anafanyia channel ten.

Akazaa nae Ivan, Neema anafika hapo kwa ajili ya Fredy.

Neema kasota kwenye kuigiza mnoo kasota sana Fredy alimpambania sijui star tv..sijui kwa watu gani ili Sanaa imtoe.

Alivyoanzisha urafiki na kina Aunty kujulikana kidogo mjini akadai talaka na kuanza kudate viben ten.

Fredy mpaka sasa kagoma kutoa talaka anaamini mkewe ipo siku atarudi.

Kwa watu wanaomjua toka long huwa wanamsikitikia tu Fredy.
Aisee..hiyo habari mupya kabisa
 
Ile zawadi hakupewa,ule mpochi mange ndio aliobakiwa nao baada ya kufilisika kila siku alikua anauvaa mpaka alipochambwa na kichwapanzi ndo akaupumzisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Koku sijui atakuwa nani huko gram

Hivi alipewa zawadi yake ila ya ati designer nini ilikuwa begi la mtoto au sijui viatu mange alinunuliwa na Mwamvita Dubai..

Ila lile begi ni kama analo hadi kesho

Viatu havivai aibu fulani hivi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampenda mama ubaya basi tu ana vitu vinaboa.

Jana nilikua nacheka tu wanavyojifanya wapo upande wa Hamissa wakati yeye ndo kayaanzisha.

Ila Zama alichokipata hatoamini maana ni kama alikua anasubiriwa ayakanyage.
Kabisa...
Yaani Jana sijui kama kapata usingizi! Kapewa makavu na insta yotee asee!

Kinaboaga watu sema kilikua hakishutukagi tuu!
 
Kutwa kujasifia ooh sikuchangisha harusi sembuse 40.Kudaka ajira wasafi kakaona mji kameukamata kisawasawa,fasta kakaanza nyemelea cheo cha steve ila msiba wa mtoto wa muna ukamtoa jasho bila kutarajia
Kabisa...
Yaani Jana sijui kama kapata usingizi! Kapewa makavu na inta yotee asee!

Kinaboaga watu sema kilikua hakishutukagi tuu!
 
Tukifikikaga kwa wema lazima tutofautiane[emoji23][emoji23][emoji23]

Witty sasa kwani Wema sio mpole?

Ni mpole bana ila anapenda masifa akikaa sehemu aonekane.

Kama hamisa alivyo mpole ila ni kanyoka anakuua huku anakuchekea.
Hamisa sio nyoka tafadhalii binamuuu[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom