witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Khaaaaaa!...Mara paaap Wema ana 24[emoji15] [emoji15] dunia itasimama! Ama amaAna 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaaa!...Mara paaap Wema ana 24[emoji15] [emoji15] dunia itasimama! Ama amaAna 24
Hutakiwi kumbadilishaHata Uwe na elimu ya saikolojia kumbadirisha mwanamke mbumbumbu eti kisa umempenda haiwezekani ila anaweza kubadirika mwenyewe kama amekupenda.
Yasije yakawa yale ya Mwamvita.. mji una mengi huuIle nyumba mbona naambiwa na mtu wa uhakika kuwa sio yake??
Hahahahaaha. .kimama majoka!!Haaahaaa rayna banaa....who makes cash now zaidi ya ufa fa faa? Ukimpenda mtu uweke akiba!
Kile kidemu kisipojirekebisha kupenda mambo makubwa na uwezo hakina kitaishia pabaya! Bora hata Wema ana experience na huo usupastaa uchwara kaamua ajiuzie mavitu vitu flani ili asurvive mjini!
Ile kile kimama majoka sijui, yangu macho[emoji15] [emoji15]
.
Maneno yametoka kwenye grupu la zama la wajasilia na mshona mgunia + Wema...only this!Sasa watu maneno wametoa qapi mkwe? Hamisa lazima alilalamika kweli
Haswaaaa,,........Wema manager in insta....ashushe file hapa watu tuna ishu zake chafu chafu hazifai
Yupo humu jf?Ngoja nikamuonyeshe boss wako hii comen[emoji38][emoji38]
Unaniuaa leo. Eti Sofia the First [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NAULIZA TU!!
Mana katika miji ya ajabu niliwahi fika ni Pemba!!
na hayo mapishi sijawahiga kuona huko kwao!!
Sehemu naumwaga nikiambiwa naenda ni Pemba.
Ila ndo kazi utafanyaje!!
IT IS A DULL PLACE EVER!!
airport madimbwi tuuu!!
woooooih!!
sijajua wanaoenda kwa maboti sijui meli.
woooooih ATI WANAWAKE WA PEMBA!!
kiiiiiiipi babu weee atupishe!!
Sio wa kibarazani wala uani!!
Hawafai kwa mavumba Wala ubani.
Kwanza wa huko PEMBA mbali,wapi Ilala hapo!!
Asituondolee focus ya gauni la Sophia the First!!
Atuache kabisa!!
Kajaa teleeee[emoji23][emoji23]Yupo humu jf?
Brand mavi mavi.. kwa brand ipi alonayo? AsituchosheeBrand ndyo habari ya mjini kwa sasa!!
Anatakiwa kujibadirisha, si ndio?Hutakiwi kumbadilisha
Labda kama kanunua na duka lote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] gauni 8mils
Ule mjengo feki wa mwamy ulikuwa balaa blaaYasije yakawa yale ya Mwamvita.. mji una mengi huu
We ile mikono ,we kuweeeeza?Unaniuaa leo. Eti Sofia the First [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo tumuweke pending kwanza.Haaahaaa.....mupe usimuruke...
Naona huko insta kuna mashindano ya brand...now hadi haji manara ana management ya kusimamia brand yakeBrand mavi mavi.. kwa brand ipi alonayo? Asituchoshee
Ilikuwa lazima amdragg in ili linogeIla jaman turudi kwenye point ya msingi,
Kulikuwa kuna mantiki yyte ile ya kumtongoza Misa kwenye hii ishu?
Mi nafikir Zama alichemka. Alitakiwa a deal na waliosema kwann awachangishe hela af ajinasibu kuwa katoa zake peke yake. Using misa as a scapegoat ni kitu kisichokubalika
Sina u team but am trying to be fair
Mbona insjulikana sio yake??Yasije yakawa yale ya Mwamvita.. mji una mengi huu