Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Haaahaaa rayna banaa....who makes cash now zaidi ya ufa fa faa? Ukimpenda mtu uweke akiba!

Kile kidemu kisipojirekebisha kupenda mambo makubwa na uwezo hakina kitaishia pabaya! Bora hata Wema ana experience na huo usupastaa uchwara kaamua ajiuzie mavitu vitu flani ili asurvive mjini!

Ile kile kimama majoka sijui, yangu macho[emoji15] [emoji15]


.
Hahahahaaha. .kimama majoka!!
 
NAULIZA TU!!
Mana katika miji ya ajabu niliwahi fika ni Pemba!!
na hayo mapishi sijawahiga kuona huko kwao!!

Sehemu naumwaga nikiambiwa naenda ni Pemba.
Ila ndo kazi utafanyaje!!
IT IS A DULL PLACE EVER!!
airport madimbwi tuuu!!
woooooih!!
sijajua wanaoenda kwa maboti sijui meli.
woooooih ATI WANAWAKE WA PEMBA!!
kiiiiiiipi babu weee atupishe!!
Sio wa kibarazani wala uani!!
Hawafai kwa mavumba Wala ubani.
Kwanza wa huko PEMBA mbali,wapi Ilala hapo!!
Asituondolee focus ya gauni la Sophia the First!!
Atuache kabisa!!
Unaniuaa leo. Eti Sofia the First [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila jaman turudi kwenye point ya msingi,

Kulikuwa kuna mantiki yyte ile ya kumtongoza Misa kwenye hii ishu?

Mi nafikir Zama alichemka. Alitakiwa a deal na waliosema kwann awachangishe hela af ajinasibu kuwa katoa zake peke yake. Using misa as a scapegoat ni kitu kisichokubalika

Sina u team but am trying to be fair
Ilikuwa lazima amdragg in ili linoge
 
Back
Top Bottom