BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Regardless.....Si alitoa tangazo mwenyewe jamani, gazeti reeeeefu kutuhabarisha habari za kushindwa kupata mtoto hajui kipi cha kuongea kipi cha kunyamaza mwanamke na akili timamu anatangaza "nimetoa mimba coz nilikua mdogo" akaona fahari mwenyewe, hata kama katoa hiyo ingebaki yake so ya kuongea huyo, mastaa wangapi hawana watoto kina jide sijawahi ona wakizungimza hayo kwenye social media
Mama ubaya a.k.a wemaFake life ✔
Fake car ✔
Fake house ✔
Fake mahips ✔
Fake tears ✔
Fake utoto ✔
Fake business ✔
Fake boyfriends ✔
Fake harusi ✔
Fake mimba ✔✔
Mtaje mtu huyu.
Nyani Ngabu anayo mi Sina, eti nyumba ya m400 Thubutuuuuuuu
Ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha
warumi clip ya nyumba ya mil 400 hii hapa ha ha ha ha ha hii kitu inachekeshaga na hizo Kope kama mfagioKwanza alianza na hii ya milioni 400 [ila sie wenye akili tulitilia mashaka kwa sababu, nyumba ya hela zote hizo aitoe wapi wakati hana hata shughuli ya maana anayoifanya!]
Baadaye tukaja kuambiwa eti kumbe haikuwa yake. Ikadaiwa pia alikuja kufurushwa na mwenye nyumba.
Juzi juzi tena hapa tukasikia eti sijui katimuliwa kwenye nyumba 'yake' ya milioni 200 na ushee.
Sasa sijui hii ya milioni 200 na ushee ndo alikuwa akiiba umeme?
Umeuliza tumempima? Ndo nmekujulisha hajapimwa katangaza mwenyewe......Regardless.....
Haijalishi vita vyao vinatupa burudani kiasi gani ila, kuna mengine ya kuyaepuka
Hiyo sio account ya lulu
lulu hahahaha eti my qeen wacha movie iendelee
lulu hahahaha eti my qeen wacha movie iendelee
Duuu anaeomba DNA hapa aweke kwanza DNA yake kuthibitisha huyo baba hapo home ni baba ake sio kwa mfanano huu
Ohoooo,wewe wasema mama.
Mie nikisema mapovu na magazeti yanashushwa...
Heheheeeee
Wee nae unavyomponda wema km alikuchukulia. Class ya mtu anavyojiweka mwenyewe,,hebu mpumzishe wema wa watu. Ndio nyinyi hata km mtu hana kosa mnamtafutia kosa, una tabia km za askari mgamboahahah huu umbea umenikunaje? ila mama tee nae mbaya kwa vijembe, ila mama ubaya zari sio level zake kwa kweli, yeye ashindane na akina aunty ezekiel
Kwa level gani, mbona wabongo washamba sana. Level hela ya kula na show off hadi ukaombe kwa X ili uwalingishie watu Instagram, lolKwakweli Zari ni level nyingine ye avaane na wenzie wanacheza wote vigodoro
Basi tu nna mudi nzuri leo, ila ningekutukana.
Duu naona na nyie mnaanza ka Zari na wema..ha haha ha aKwani ingekuwa mara ya kwanza wewe kufanya hivyo?
Umewahi nitukana mara ngapi?
Nimepungukiwa nini na hayo matusi yako?
Poleeeee