Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Si alitoa tangazo mwenyewe jamani, gazeti reeeeefu kutuhabarisha habari za kushindwa kupata mtoto hajui kipi cha kuongea kipi cha kunyamaza mwanamke na akili timamu anatangaza "nimetoa mimba coz nilikua mdogo" akaona fahari mwenyewe, hata kama katoa hiyo ingebaki yake so ya kuongea huyo, mastaa wangapi hawana watoto kina jide sijawahi ona wakizungimza hayo kwenye social media
Regardless.....

Haijalishi vita vyao vinatupa burudani kiasi gani ila, kuna mengine ya kuyaepuka
 
Hivi nyumba ya diamond haiko mita 60 toka baharin kesho tukavunje
 
Nyani Ngabu anayo mi Sina, eti nyumba ya m400 Thubutuuuuuuu

Kwanza alianza na hii ya milioni 400 [ila sie wenye akili tulitilia mashaka kwa sababu, nyumba ya hela zote hizo aitoe wapi wakati hana hata shughuli ya maana anayoifanya!]

Baadaye tukaja kuambiwa eti kumbe haikuwa yake. Ikadaiwa pia alikuja kufurushwa na mwenye nyumba.

Juzi juzi tena hapa tukasikia eti sijui katimuliwa kwenye nyumba 'yake' ya milioni 200 na ushee.

Sasa sijui hii ya milioni 200 na ushee ndo alikuwa akiiba umeme?
 
Ha ha ha ha ha ha ha
a76a7918171c040bcfd0afa74a60dbb9.jpg
 
Kwanza alianza na hii ya milioni 400 [ila sie wenye akili tulitilia mashaka kwa sababu, nyumba ya hela zote hizo aitoe wapi wakati hana hata shughuli ya maana anayoifanya!]

Baadaye tukaja kuambiwa eti kumbe haikuwa yake. Ikadaiwa pia alikuja kufurushwa na mwenye nyumba.

Juzi juzi tena hapa tukasikia eti sijui katimuliwa kwenye nyumba 'yake' ya milioni 200 na ushee.

Sasa sijui hii ya milioni 200 na ushee ndo alikuwa akiiba umeme?

warumi clip ya nyumba ya mil 400 hii hapa ha ha ha ha ha hii kitu inachekeshaga na hizo Kope kama mfagio
 
Can this two OLD women live without this??

Au ndiyo wakiacha maisha mjini hayataenda??
 
Ohoooo,wewe wasema mama.
Mie nikisema mapovu na magazeti yanashushwa...
Heheheeeee

waache washushe tu wana stress zao umbea wanaupenda sana ndo maana kila post humu wanafatilia tehtehteh niache niaijekuwa waru.. bureeee
 
ahahah huu umbea umenikunaje? ila mama tee nae mbaya kwa vijembe, ila mama ubaya zari sio level zake kwa kweli, yeye ashindane na akina aunty ezekiel
Wee nae unavyomponda wema km alikuchukulia. Class ya mtu anavyojiweka mwenyewe,,hebu mpumzishe wema wa watu. Ndio nyinyi hata km mtu hana kosa mnamtafutia kosa, una tabia km za askari mgambo
 
Back
Top Bottom