BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Regardless.....Si alitoa tangazo mwenyewe jamani, gazeti reeeeefu kutuhabarisha habari za kushindwa kupata mtoto hajui kipi cha kuongea kipi cha kunyamaza mwanamke na akili timamu anatangaza "nimetoa mimba coz nilikua mdogo" akaona fahari mwenyewe, hata kama katoa hiyo ingebaki yake so ya kuongea huyo, mastaa wangapi hawana watoto kina jide sijawahi ona wakizungimza hayo kwenye social media
Haijalishi vita vyao vinatupa burudani kiasi gani ila, kuna mengine ya kuyaepuka