Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Ha ha ha ha, naona umepata neno irrelevant basi kila kitu irrelevant. Hebu soma comments zako kisha jiulize nani ana comment irrelevant to the topic. Ww uliona kuuza jina ni kazi rahisi ndio mana nakakuambia uza lako km rahisi. Hivi Tanzania kuna celebrities wangapi na jiulize nani anaweza kuwa na brand ikahit big time.

Kuuza jina inalipa, musicians wa America wengi na perfumes za majina yao mfano Rhianna, Beyonce, Katie Perry nk lakini haimaanoshi ndio wana miliki hizo companies, wemeuza majina wamekula chao maisha yanaendelea. Sasa hata km Wema kauza jina kwenye lipsticks mana yake anajielewa thamani yake na ashakila pesa yake bila jasho maisha yanaendelea. Na ww km rahisi uza la kwako ili wivu ukupungue
 
Asavaliii hapo sasa umeongea ukweli lipstick ni za Mr problem solved sio za wema, say no to uongo..... Case closed
 
Halafu ukute unamchukia Nyaningabu Jf, ila unapendana vizuri tu na jirani yako, wajisifu unajitani mwema kabisa. Masikini hujui ndio yule yule nyaningabu unayemchukia.
Haahaaa!!!
Kweli almajnunu fununu..
 
Umeona eeh?

Haki ya nani wazimu una matawi mengi!
 
Umeona eeeh?Hata mimi nashangaa.
Mimi mwenyewe najiamini na huo muda wa kuhangaika sijui na X zake naupatia wapi as long as babe ninae mie?
Anajishushia hadhi yake tuu wameachwa wangapi seuze yeye,kama mwanamke kweli mbona haolewi na huyo Kaka?
 
Anajishushia hadhi yake tuu wameachwa wangapi seuze yeye,kama mwanamke kweli mbona haolewi na huyo Kaka?
Hapo ndio patamu shoga,tusubiri na tuone.
Ndoa huna kisa umezaa unajitapa na kusahau yule ni mwanaume tena bado kijana.
 
Nipe direction ya leo,wapi kuna ubuyu?
Nitajie a/c nikacheke mie maana kukomenti huwa siwezi
Asubuh tuuu ile video ya jiti kumani ikatupiwa.
Ila imetolewa.
Kw douguie ambaye Kiingereza mtihani, kiswahili adhabu.Kuandika kama mtoto wa la pili
 
Asubuh tuuu ile video ya jiti kumani ikatupiwa.
Ila imetolewa.
Kw douguie ambaye Kiingereza mtihani, kiswahili adhabu.Kuandika kama mtoto wa la pili
Uwiiiiii mimi niliiona juzi kwa nataka_shari.
Dougie hadi nilishasahau kama yupo.
 
Hebu ngoja nikatembee huko,lolote jipya tupeane habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…