Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Hivi bwana ninae mimi,naanzaje sasa kurusha vijembe kwa X?Zari hajiamini kwanza yule mtoto angekuwa wa diamond biologically zari angeshaweka majibu ya DNA ili kuwaziba midomo wavimba macho
Diamond nae anaficha shoo tu maana àkikubali itakuwa aibu ya karne.. Ngoja wenye baba waanze kudai mtoto wao
 
Zari nae mswahili sana

Sijui.anatafuta kiki mavi....yaani nilidhani wema anapenda kiki ila hajamfikia zari hata kidogo. Halafu mtu mzima hebu alee watoto. Mama wa watoto 4 unapata wapi muda wa kukimbizana na visichana insta?
Wazazi wa siku hizi mkoje?
Wanawake wa siku hizi kungwi wenu nani????
 
Hahahahaa nacheka kama mazuri,kanikera sana leo.
Halafu huyu ndio watu wanamsifia kuwa anajielewa!

katuchosha nae utamfikiri mgeni wa naniliu, akwendree huko, amuache wema keshamuachia Daimond nini kinamkuna, tena wangemvalia njuga aweke DNA na masikio yake ,yeye mwenyewe fake ndio habadilishi mapazia Yale Yale miaka nenda Rudi, ye katembea mpaka na P square hajioni
 
Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.
Ukifatilia kwa ukaribu zari either hajiamini or ana tatizo la kupenda kiki ushuzi....

Atakuwa na tatizo
 
Ndo tabia za wanawake hizo
Aunt kamchukua iyobo vijembe kwa mwengi
Shamsa alimchukua nay wa mitego vijembe kwa siwema
N.k
Non Anty hakuwa na vijembe ila mwengi ndo alikuwa na vijembe nahisi koz alinyanganywa tonge kinywani;ila zari jamani anajiaibisha mtu ana mtoto adolecent kabisa ila kutwa kuandika vijembe,yule hana akili amshukuru ivan anamuweka mjini
 
Eti Wema kafunzwa vizuri na mamake. Hebu msikilizeni hapa huyo mamake.....



'thubutu kumamayo' hahahahaaaaaa Mama Wema huyo.

Kama hiyo haitoshi, hebu msikilizeni huyo 'mzungu' Wema akishusha matusi kwa mfanyakazi wake....

'kumanina'....maneno ya 'mzungu' Wema aliyefunzwa vizuri na mamake



Hapa 'mzungu' Wema alipovamia ofisi za GP.....teh teh teh

 
Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.
Tatizo we nawe inaonekana unamfahamu wema wa kwenye mitandao tu humjui wema halisi!! Yule binti ana roho ya ajabu sana na nimchonganishi sijapata kuona.. Wema amefika point mpaka anawalipa waandishi wa magazeti ya udaku wamchafue zari na dogo D!! Kama ni uvumilivu ni D na mkewe ndio wavumilivu lakini sio huyo binti yani ameunda hadi kanetiweki chake cha watu kwa ajili ya kumchafua dogo D.. Kiufupi huyu binti ni mkorofi sana na hajitambui so sishangai kama mwenzake naye amereact kwa hasira na kumtukana..
 
Hahahahaaa uwiiiiiii!
Umenivunja mbavu best yangu kipenzi.
Sasa unatokaje South Africa Johannesburg kwenye mansion unaenda kuishi nje ya dar porini kwenye kijumba kilichopo kwenye mkondo wa maji.. Huu kama si ukichaa ni nini?? Ameacha kuuza vipodozi na maunga sikuhizi anashinda kwenye mitandao kutukanana na wanawe
 
Yuko na mtt wa Tandale tena..Anaachaje uswahili...Embu atulize papa huko alee watt...
Four kids

Anapata muda wa kukimbizana na kina wema wasio na watoto...ambaye hawazi kesho ya mwanae..... hawazi mwanae kavaa nguo gani....kaenda au hakwenda shule...kaamkaje....kafanya homework........ pyeee
 
Teynaaaaa,huyu bibi kizee nae leo kalikoroga.
Asiyekaa alee watoto wake wanne anahangaika na Wema.

atakua na kisimi kirefu kila saa kinamuwashaa akunwe bongo ndio maana hakai na wanae muda wote anawaza dyudyu ya Dai itanyakuliwaa,ajiandaeee anamjua Dai anamsikiaaa
 
Back
Top Bottom