FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Diamond nae anaficha shoo tu maana àkikubali itakuwa aibu ya karne.. Ngoja wenye baba waanze kudai mtoto waoHivi bwana ninae mimi,naanzaje sasa kurusha vijembe kwa X?Zari hajiamini kwanza yule mtoto angekuwa wa diamond biologically zari angeshaweka majibu ya DNA ili kuwaziba midomo wavimba macho