Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Huamini ama!!Propaganda za wafilisti na magaidi ya alla
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waisrael ambao ndio raia wa Israel na wanaishi ndani ya Israel wanamtaka Netanyahu ajiuzuru ila wayahudi weusi wa huko Nzega mpaka huko Itigi wao hawataki Netanyahu ajiuzuru.
Kote watu wanaandamana wakichoka ..Sudan, Syria, Egypt n.kKupitia mfumo wa kidemokrasia ambapo raia wapo huru kuandamana tofauti na nchi za kidikteta na za kifalme za Mashariki ya Kati hata Ukanda wa Gaza chini ya HAMAS, bila mapinduzi au kipigo cha bunduki hakuna mtawala atakayeondoka madarakani.
Naona mmedanganywa sana.QURAN 59: 13-14
13. Hakika nyinyi (waislamu) mnaogopwa zaidi katika vifua vyao kuliko (wanavyomuogopa) Mwenyezi Mungu. Hayo ni kwa kuwa hao ni watu wasio fahamu kitu.
14. Hawatapigana nanyi kwa mkusanyiko isipokuwa katika miji ilvyo zatitiwa kwa ngome, au nyuma ya kuta. Wao kwa wao vita vyao ni vikali. Utawadhania kuwa wako pamoja, kumbe nyoyo zao ni mbali mbali. Hayo ni kwa kuwa wao ni watu wasio na akili."
Papa kaisha ruhusu mpigwe pumbuPropaganda za wafilisti na magaidi ya alla
Sasa kama Hamas wanawaua wanajeshi wa Israel sana kwanini mnaomba netanyahuu ajiuzuluIsrael kuwa nchi ya kidemokrasia au siyo ya kidemokrasia sio ishu inayojadiliwa hapa, ishu ni kuwa wananchi wanamtaka Netanyahu ajiuzulu
Tangu nimetambua kuwa allah siyo Mungu wa kweli imenisaidia sana.Magaidi wa Allah wanahisi wameshashinda vita
Wananchi wa Israel wanataka ajiuzuluSasa kama Hamas wanawaua wanajeshi wa Israel sana kwanini mnaomba netanyahuu ajiuzulu