Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

Kupitia mfumo wa kidemokrasia ambapo raia wapo huru kuandamana tofauti na nchi za kidikteta na za kifalme za Mashariki ya Kati hata Ukanda wa Gaza chini ya HAMAS, bila mapinduzi au kipigo cha bunduki hakuna mtawala atakayeondoka madarakani.
Kote watu wanaandamana wakichoka ..Sudan, Syria, Egypt n.k
 
QURAN 59: 13-14

13. Hakika nyinyi (waislamu) mnaogopwa zaidi katika vifua vyao kuliko (wanavyomuogopa) Mwenyezi Mungu. Hayo ni kwa kuwa hao ni watu wasio fahamu kitu.

14. Hawatapigana nanyi kwa mkusanyiko isipokuwa katika miji ilvyo zatitiwa kwa ngome, au nyuma ya kuta. Wao kwa wao vita vyao ni vikali. Utawadhania kuwa wako pamoja, kumbe nyoyo zao ni mbali mbali. Hayo ni kwa kuwa wao ni watu wasio na akili."
 
Naona mmedanganywa sana.
 
Israel kuwa nchi ya kidemokrasia au siyo ya kidemokrasia sio ishu inayojadiliwa hapa, ishu ni kuwa wananchi wanamtaka Netanyahu ajiuzulu
Sasa kama Hamas wanawaua wanajeshi wa Israel sana kwanini mnaomba netanyahuu ajiuzulu
 
Back
Top Bottom