Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

Huyo member ni maoni yake binafsi sio msimamo wa chama
Tusiwe tunatumia hisia na bali akili
Kuwa chadema au ccm hakumzuii mtu kutoa tamko lake binafsi
Chama kinataratibu za kutoa maoni yao juu ya jambo flani
 
Huyo mtanzania ni Mwizi, kaiba mkoba. Wenzake wanaomwambia akimbie mbona hawashambuliwi!? Kama unaelewa hata kidogo lugha inayozungumzwa hapo utagundua kuwa jamaa kaiba mkoba wa bidada mmoja.
 
Siungi mkono kinachowatokea ndugu zetu hasa kupigwa, lakini iko wazi kuwa wimbi la wahamiaji haramu linatishia ukosekanaji wa fursa za kazi kwa wenyeji. Na kwakweli tatizo hili ni kubwa South Africa.
Hao ni wabaguzi na wapu..umbavu tu, damu ya ubaguzi bado inatembea miilini mwao! hapa tanzania wamejaa wamalawi aka wanyasa, mbona wanaishi na hawajaathiri ajira za watanzania
 
China Mall, ya Joburg, Gauteng nilifika Oct, 2023 kuangalia vitu vya kununua, pa hovyo sanaaa, hakuna vitu vya maana, yaani pa dogo, hata parking ndogo, alafu kuchafu, jengo ndani dogo, mnabanana yaani alafu vitu feki feki tupu, trust me tuliondoka hata dak 30 hatukumaliza, pa hovyo sana, yaani kwanza jengo lenyewe chafu kuanzia nje, yaani sio mall like unaona Four ways Mall in South Africa au Mall of Africa au Riverstone Mall, yaani wala hiyo China Mall sio pa kwenda..!!

Wahamiaji haramu South Africa ni wengi, ila ukiwa huna utaalamu au hujasomea ujuzi wowote ndio balaa, utasota sana
 
Sasa maskini huyo wamempiga hivyo kisa kuwepo hapo daa halafu jamaa anamwambia kimbia wewe
 
Demokrasia watu huwa wanaiongea lakini hawana uwezo wa kui-practice iwe opposition au ruling party

Humu JF Hakuna anayemfikia Erythrocyte kama mwanachadena mtiifu. Yaani ni kusema yeye ni Namba Moja humu.
Kwa hiyo chochote atakachosema kinatoa pîcha ya Chama alichopo.

Hata kama ni maonî yake binafsi
 
Hawa wangeachwa watawalie na makaburu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…