Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Huyo member ni maoni yake binafsi sio msimamo wa chamaCHADEMA kinapigania Demokrasia na wéwe NI mwanachama ndîo maana ice amekushangaa kushabikia matendo ya wasouth àmbayo ni kinyume na Sheria kama mnavyofanyiwa ninyi CHADEMA.
Sasa wewe umeambiwa ukweli unatapatapa kwani umeonyesha rangi yako halisi
Tusiwe tunatumia hisia na bali akili
Kuwa chadema au ccm hakumzuii mtu kutoa tamko lake binafsi
Chama kinataratibu za kutoa maoni yao juu ya jambo flani