Zamu ya mama chibu zamu yako nitakuja keshoYako hahaa
Zamu ya mama chibu zamu yako nitakuja kesho
Uyo ndyo mama yako?MashalaahView attachment 573444
mbona kama unalazmisha vp umekosa basha?
aya na wewe katandike bas kitanda naja
try me
Hahaa kwa swali hili utachekwa bana mie sio tiffa jomoniUyo ndyo mama yako?
Kama ni mama yako pole nisagonga hapo
Ila hii ni fundisho kabisa kwa Mondi apambane mwenyewe tu bila kutafuta pa kutokea nadhan next time vile vipande vya majungu havitakuja tena sijui WE UKIPOST TEMBO SIE TUNAPOST SHOO ndugu zake wanachekelea Leo limerudishwa wanatafutanawanasababisha washabiki waanze kuutafuta wimbo wa fresh remix kwa nguvu... hawa wa upande huu wange kaa kimya ingetosha...
hapa iliposika Mondi akitoa song watu watakuwa makini kujua kuna nini... kwa sababu ya watu wa upande huu walivyo hamaki....
Unipe tena mdgo wako wa nn mm sasa?Poa ntaandaa dog wangu anapenda sana watu kama wewe hahaha
Kama ni mama yako pole nisagonga hapo
Unipe tena mdgo wako wa nn mm sasa?
usunfananishe na kben10 chako...Hahaaaa sasa shosti ukija tutalala mzungu wa nne au maana shughuli huiwezi
usunfananishe na kben10 chako...
mi sio shost ako we kigagula
em pita kuleeeeeee........
ka vp tafta typ yako!!!!
try me
Sometimes huwa najiulizaga huyu Domo mbona hakui. Udada si Udada, umama si umama sijui ndio ushamba ama vipi.Ommy Dimpoz amepatia kabisa,
Hapa panapowauma ndiyo Dimpoz anapagonga zaidi muumie vizuri, kupambana kiume ni kupambana kwa kutumia maneno yoyote regardless yanamuhusu nani cha msingi yamuumize unayepambana naye hadi akome kufungua mdomo.