Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Hahaha mhenga ntunzie hayo mapovu ya kufulia nguo weekend
umezungukaaa weeeeee kumbe ishu ni kuja? [emoji23]
ohkay karibu sio povu tuu na ******
utapata ya bure

try me
 
Ujana maji ya moto kuna umri utafika watajutia haya pia si hekima kutukana wazazi ni kujitafutia laana, mzazi wa mwenzio ni mzazi wako
Upo sawa kiongozi. .ila kaa ukijua wako wazazi wanatembea na watoto.
Sio muvi nikweli haya mambo yapo. Kwahyo sometimes kuwa makini na mzazi wako kama kuna movement huzielewi mkanye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku nipo JamiiForums au Instagram? Anyway fresh

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Ommy Dimpoz amepatia kabisa,

Hapa panapowauma ndiyo Dimpoz anapagonga zaidi muumie vizuri, kupambana kiume ni kupambana kwa kutumia maneno yoyote regardless yanamuhusu nani cha msingi yamuumize unayepambana naye hadi akome kufungua mdomo.

Nyie kweli milembe mkipelekwa sitashangaa.. mnashabikia uongo ulioandikwa na meke.. duh mjisikitikie wote na wenzako mlioni quote humu. Wadaku kweli mliojaa wivu.. si bora angejibu na la kweli... mna muda mnunulieni na mafuta kabisa ajipake.
 
Ndiyo mkome sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…