xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
umezungukaaa weeeeee kumbe ishu ni kuja? [emoji23]Hahaha mhenga ntunzie hayo mapovu ya kufulia nguo weekend
ohkay karibu sio povu tuu na ******
utapata ya bure
try me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umezungukaaa weeeeee kumbe ishu ni kuja? [emoji23]Hahaha mhenga ntunzie hayo mapovu ya kufulia nguo weekend
Upo sawa kiongozi. .ila kaa ukijua wako wazazi wanatembea na watoto.Ujana maji ya moto kuna umri utafika watajutia haya pia si hekima kutukana wazazi ni kujitafutia laana, mzazi wa mwenzio ni mzazi wako
umezungukaaa weeeeee kumbe ishu ni kuja? [emoji23]
ohkay karibu sio povu tuu na ******
utapata ya bure
try me
We bi mkubwa wako akiingizwa utafulai[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kumuingiza Bi.mkubwa ndiyo vizur kabisa kwasababu inauma vibaya mno.
mi sio Kendra so am notHuhuhuuu kumbe unajiuza
Kwani amemtukana au picha tu?Ommy ni mjinga,kumuingiza bi sanura kwenye ugomvi wake na mondi ni upuuzi...kwanini wasitukanane wenyewe?yule mama kakosa nini??
Hebu Kamvulie Pichu Tuone Kama Ni Binti Kweli Au Wanamzushia TuKwel ommy ni binti.
Tufanye yote ila heshima ya mama ibaki palepale.Yaan had ney kaona ni tatizo ila baadhi ya wapuuzi wanachekelea tu
Ommy Dimpoz amepatia kabisa,
Hapa panapowauma ndiyo Dimpoz anapagonga zaidi muumie vizuri, kupambana kiume ni kupambana kwa kutumia maneno yoyote regardless yanamuhusu nani cha msingi yamuumize unayepambana naye hadi akome kufungua mdomo.
Duh!!!haya mambo huwa yanaanza kama madogo baadaye yanakuwa makubwa naona dada mtu kareplay kwa uchungu sana[emoji116]![]()
-Ndumilakuwili-
Kwan harufu inasikiwa au inanuswa?Kimenuka nini huko sisikii harufuuu kabisa...?
Bi.mkubwa wangu haingizwi kwenye utani kwasababu sitoi kejeli kwa hao watu.
Ndiyo mkome sasa.Nyie kweli milembe mkipelekwa sitashangaa.. mnashabikia uongo ulioandikwa na meke.. duh mjisikitikie wote na wenzako mlioni quote humu. Wadaku kweli mliojaa wivu.. si bora angejibu na la kweli... mna muda mnunulieni na mafuta kabisa ajipake.