Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
"Usiombe amani wakati wa vita, utakufa mapema" Fa.Kwenye battle hekima huwa haihitajiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Usiombe amani wakati wa vita, utakufa mapema" Fa.Kwenye battle hekima huwa haihitajiki.
Hili tunaita pigo takatifu. Nasubiria kuona domo atalipangua vp hili!Kwa wazazi ndiyo penyewe kabisa maana ndiyo inauma kumoyo vizuri kabisa.
Hata Mimi ningerusha!Kumuingiza Bi.mkubwa ndiyo vizur kabisa kwasababu inauma vibaya mno.
Ila Mkuu unaua...!Muhenga anapotaka kunyonywa papuchi lazma ughairi
Muhenga
aiaseee et kazaa kimba [emoji43]
Hata shemeji hajawahi kutuonyesha. Anawezaje kumkula huyo bimkubwa. Hilo bwabwa tuLakn anamkula bimkubwa wenu
Siyo jazba mkuu.. Jamaa hakutakiwa kufika kwa wazazi. Kavuka vipimo. Kaingilia ugomviMkuu acha jazba
Shemeji yetu ndyo bmkubwa wenu sa unafikiri angemuonyesha kizembe ivyo?Hata shemeji hajawahi kutuonyesha. Anawezaje kumkula huyo bimkubwa. Hilo bwabwa tu
Na shoga au.?Bimkubwa kagongwa
Mmmmhhh hata kama aiseee sio poaKwa wazazi ndiyo penyewe kabisa maana ndiyo inauma kumoyo vizuri kabisa.
[emoji144] [emoji144] [emoji144]Mzazi mwenyewe hajajiheshimu kutwa kuuza sura mitandaoni ataheshimiwa na nan
Sent using Jamii Forums mobile app
nilimuona siku moja ameweka miguu juu kwenye dashboard ya Gari ya Sallah wa GSM. .. nilishangaa kwa kweli walikuwa wanaelekea kigamboni tulipishana pale Nyerere bridge mhhhUshahid uko wapi??