Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

61350265597b20ecc6cfe3a27367e3a2.jpg


Ila ommy kaua sio kwa hashtag hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
BABAMALKIA...? Ana maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wote mlikuwa hamumfahamu Shemeji kwa ommy mmemuona ?
Chura mmeiona?
Chuchu saa sita
 
KWA WAPENZI WA MUSIC WA TAARABU MNAJUA WIMBO WA MAREHEMU SHAKIRA BUNDUKI BILA RISASI YAUA NAMNA GANI.........'"? NA MAJIBU YAKE ?HEBU JIKUMBUSHENI NDO MTAJUA UTAMU WA NGULI WA MUZIKI KUJIBIZANA. AU MTAFUTENI MALENGA AWAJUZE FAIDA YA MAJIBIZANO YA MASHAHIRI.MWISHO WA SIKU FUMBO UFUNGUKA NA WATUNZI UENDELEA KUWA MARAFIKI NA UGAWANA MASHABIKI.
WENZENU WANATAFUTA PESA,NA DIAMOND AMECHONGA UPENYO......TUENDELEE
 
Hata shemeji hajawahi kutuonyesha. Anawezaje kumkula huyo bimkubwa. Hilo bwabwa tu
Shemeji yetu ndyo bmkubwa wenu sa unafikiri angemuonyesha kizembe ivyo?
Na wakati anampenda na kutoka moyoni
 
Ommy ni mjinga sana, bora angeandika kitu bila kusingizia kwa Mama mtu na kupambana kiume. Ndio maana yupo alivyo ukweli unamuuma huku yeye juzi kajitangaza na vaseline alitegemea nini. Jinga sana hilo, nimeona ametukanwa haswa na watu wengi huku alitegemea kusifiwa. Mfyuuuuu zake
 
Back
Top Bottom