Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #61
Yaan kumbe wanatudanganyagaaa aiseeika
ilaa mitandao kiboko looh mwanmke kajuaa kudanganyaa duniaa huyu eti flat tummy tee lol wachaa watu wanunue kumbe mwenzao kashafanya yake
Hata mi nilijua tu chyna alikuja lipiza kisasi,,lakin kisasi na kuzaa juu ahahah,, Rib atakuwa na mapesa mengi eeipo hivi chynaa alitokaa na roby kwa maksudi yaan hajawah mpendaa rob bt alitaka kuwakomeshaa kardashhian esp kyle kwa kuwa kyle alitoka na baba mtot wake ndo maana aliingiaankwa fujo saanaa akaanza kuigaa mpka product za kina k ilimrad kuwavurugaa
Kasema anakiuza???Rob anauza kitandaa.. Alichomkwichikwichi chayna
Hata mi nilijua tu chyna alikuja lipiza kisasi,,lakin kisasi na kuzaa juu ahahah,, Rib atakuwa na mapesa mengi ee
Atakua hampendi Rib,lakin utashangaa baada ya siku ngapi wapo wotee ahahahah mapenziii hayahapa chyna alikua live insta anaskiza wimbo wa beyonce kama sikosei kama dk 20 hv zimepita hana mda anaonesha hilo shuka tu
hii ndio aka expose namba ya chyna
kama.nawaona wakina.khloe na.kylienwanavyo pop shampagneeKasema anakiuza???
Hawampendi chyna navyosikiakama.nawaona wakina.khloe na.kylienwanavyo pop shampagnee
Ana kibur chyna,angekaa na rob alikuwa anampenda kwelikwa hili sizan kama watarudiana though chyna kuwekwaa uchi anaonaa kawada si shogaa ake muvaaa
rob mpole saaaaanaa.ilaa.leo.kauwashaa motoAna kibur chyna,angekaa na rob alikuwa anampenda kweli
kama huwajui kalale tuNdiyo kina nani hao?
Kachokaaarob mpole saaaaanaa.ilaa.leo.kauwashaa moto
Hahahahahaha agoogle tuk
kama huwajui kalale tu
Lakin hata chyna si kafanya upuuzi au kwake ni heshima?Chyna hawezi kujibu upuuzi wa Rob Coz anajua jinsi atakavyoutumia kupiga hela za Kardashians ndo maana kapiga kimya,ulaya kuna njia nyingi za kupiga pesa mojawapo ni hii