Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

ipo hivi chynaa alitokaa na roby kwa maksudi yaan hajawah mpendaa rob bt alitaka kuwakomeshaa kardashhian esp kyle kwa kuwa kyle alitoka na baba mtot wake ndo maana aliingiaankwa fujo saanaa akaanza kuigaa mpka product za kina k ilimrad kuwavurugaa
Hata mi nilijua tu chyna alikuja lipiza kisasi,,lakin kisasi na kuzaa juu ahahah,, Rib atakuwa na mapesa mengi ee
 
5ec58fe8f6737a5c5d9f6ea3295f59ac.jpg
hapa chyna alikua live insta anaskiza wimbo wa beyonce kama sikosei kama dk 20 hv zimepita hana mda anaonesha hilo shuka tu
 
Hata mi nilijua tu chyna alikuja lipiza kisasi,,lakin kisasi na kuzaa juu ahahah,, Rib atakuwa na mapesa mengi ee

Kardashian wanapesa alimnunulia chyna saa ya mil 180 pete ya mil 250 na nyumba anayokaa analipa almost 32 milion kwa mwezi sijui
 
5ec58fe8f6737a5c5d9f6ea3295f59ac.jpg
hapa chyna alikua live insta anaskiza wimbo wa beyonce kama sikosei kama dk 20 hv zimepita hana mda anaonesha hilo shuka tu
Atakua hampendi Rib,lakin utashangaa baada ya siku ngapi wapo wotee ahahahah mapenziii haya
 
kwa hili sizan kama watarudiana though chyna kuwekwaa uchi anaonaa kawada si shogaa ake muvaaa
 
Chyna hawezi kujibu upuuzi wa Rob Coz anajua jinsi atakavyoutumia kupiga hela za Kardashians ndo maana kapiga kimya,ulaya kuna njia nyingi za kupiga pesa mojawapo ni hii
 
Chyna hawezi kujibu upuuzi wa Rob Coz anajua jinsi atakavyoutumia kupiga hela za Kardashians ndo maana kapiga kimya,ulaya kuna njia nyingi za kupiga pesa mojawapo ni hii
Lakin hata chyna si kafanya upuuzi au kwake ni heshima?
Ataenda kumshitaki apige pesa
nimeona watu washaanza kumtumia chyna sms haahh
 
Back
Top Bottom