Kila siku mkiambiwa kwamba Hersi ana maamuzi ya ki pwagu mnakasirika, hivi unadhani wana yanga ni wajingawajinga?
Jenerali Bugatti alikuwa sahihi sana kukataa kumpa mkono huyu kijana mnafiki kule zanzibar aliona mbali sana
Bugatti anaposema kwamba huyu ni mnafiki anaichukia yanga apingwe wewe ni nani ubishe?
Bugatti ka shawapoint wanayanga kwamba ALLY KAMWE, WILSON ORUMA, JEMEDARI SAID wako vitani dhidi ya Dar young africans inakuwaje tena katika mmojawapo aliye vitani na team mnampa cheo tena anakuwa boss wa de la boss Bugatti?
Kma siyo dharau ni nini? huyo kamwe ataweza kutoa ma slogan kama ya kwa mkapa hatoki mtu,iwe jua iwe mvua...ni mtanzania gani ana uwezo wa ku come up na ma ideas kama hayo zaidi ya Bugatti? Ally kamwe anaweza kujaza uwanja kweli?
Sasa angalia hii video jinsi Ally kamwe anavyomkubali adui namba moja wa wanayanga aitwaye jemedari said
kama hamtaiona hatari ambayo yanga imejiweka basi akili zenu ni sifuri kabisa, ndiyo maana wafuasi wa jemedari Bugatti wana machungu yasiyosimulika mioyoni mwao
Kwani huyo Ali Kamwe ameajiriwa na Yanga kwa sababu anamkubali sana Jemedari Said, au ni kwa sababu ya sifa alizokuwa nazo katika tasnia ya habari na mawasiliano?
Halafu una ushahidi wowote ule wa sauti au maandishi kutoka kwa kiongozi yeyote yule wa Yanga, unao onesha huyo Jemderi Saidi ndiye adui mkubwa wa Yanga? Kwa lipi hasa? Kwa sababu alipondana na mropokaji mwenzake Haji Manara kuhusu kuvaa kanzu chafu na yebo yebo zilizochakaa! ndiyo ageuke kuwa adui mkubwa wa Yanga?
Kwani huyo Ali Kamwe ameajiriwa na Yanga kwa sababu anamkubali sana Jemedari Said, au ni kwa sababu ya sifa alizokuwa nazo katika tasnia ya habari na mawasiliano...
Jipige kifuani sema wewe ni nyumbu grade A, hivikuna TOPOLO linalomchukia jemedari said kama wewe hapa JF, uliandikiwa barua na uongozi uwe unamchukia jemedari tena unatumiaga maneno ya Jenerali Bugatti kwamba jemederi hajui english anavaa kanzu chafu,leo wewe wa kumtetea jemedari?
Wakati jemdari Bugatti (MSEMAJI WA YANGA)akiandika malalamiko yake kwa mmmiliki wa EFM majay kuhusu Jemedari said kutumia redio kuishambulia yanga na kutaka aismamishwe kazi, HERSI ALILIPINGA HILO? hapana ni kwa sababu malalamiko yalitolewa na ofisa wa yanga
SO SIT BACK CHILL AND RELAX, YULE MVAA KANZU CHAFU NA ASIYEJUA ENGLISH NDIYE MSHAURI WA KIJANA WENU
Matusi ya nini sasa?mbona huko utopoloni tusi lenu ni mambo ya kuzibua mtaro tu? au ndo effects za waarabu na wasomali, yaani mnawaza mambo ya kikabwili tu 24/7
NARUDIA TENA WANA YANGA LAZIMA WAWE CONCERNED, HII HALI INATISHA YAANI AFISA HABARI ANACHUKUA USHAURI NA KUMKUBALI YULE JAMAA AMBAYE CLUB ILILAZIMISHA WACHEZAJI WAJITOE KUWA MANAGED NAYE, FARID MUSSA , METACHA MNATA ALIYEDANGANYWA AJITOE KWA HUYO JAMAA ATARUDISHWA YANGA
Weka maoni yako binafsi siyo kujificha kwenye tamko la uongozi, kuwa kama ya wana yanga waliochukizwa na kitendo cha kijana huyu kumkubali ADUI WA YANGA.
msemaji wayanga aliandika barua kwa mmiliki wa EFM kutaka jemedari afukuzwe kazi, msemaji unajua ni afisa wa club au hulijui hilo?
Unajua kwamba unayemchukia kwa sasa anahusika ramsi kuanzia leo kumpa ushauri kijana wenu kuhusu kazi yake hapo utopoloni?
kwenye makaratasi ally kamwe ni boss lakini in reality jenerali Buggati ndiye boss wake na kwa hii video hawezi kudumu hapo zaidi ya miezi sita atatolewa tu kama VIRUSI VINAVYOITWA NUGAZ NA BUMBULI ambavyo mwana yanga kindakindaki de la boss alipambana kuviondoa hapo