NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Kwenye somo la umbeya na propaganda ulipata grade F.
Kila siku unajaribu kupotosha ihapa jamvini lakini bado unaonekana 'hamnazo.
Uafisa wa habari ni 'professional' na ndio maana zimefanyika 'recruitment processes' na committee ikajiridhisha kua Ali Kamwe ana suit kwa hiyo position.
Unachojaribu kufanya hapa ni kuwagombanisha wanayanga na Ali Kamwe kupitia mbinu za kizamani.
Hata huyu Jemedari Said ana kadi ya Yanga tangu 2001.
Anachokifanya yeye na Haji sisi ndio tunaelewa na ndio maana Yanga as a club hawajatia neno lolote kuhusu Kazumari,Ila wewe ambaye unaonekana mgeni kwenye hii game ndio unapata tabu kuelewa.