Kila siku mkiambiwa kwamba Hersi ana maamuzi ya ki pwagu mnakasirika, hivi unadhani wana yanga ni wajingawajinga?
Jenerali Bugatti alikuwa sahihi sana kukataa kumpa mkono huyu kijana mnafiki kule zanzibar aliona mbali sana
Bugatti anaposema kwamba huyu ni mnafiki anaichukia yanga apingwe wewe ni nani ubishe?
Bugatti ka shawapoint wanayanga kwamba ALLY KAMWE, WILSON ORUMA, JEMEDARI SAID wako vitani dhidi ya Dar young africans inakuwaje tena katika mmojawapo aliye vitani na team mnampa cheo tena anakuwa boss wa de la boss Bugatti?
Kma siyo dharau ni nini? huyo kamwe ataweza kutoa ma slogan kama ya
kwa mkapa hatoki mtu,iwe jua iwe mvua...ni mtanzania gani ana uwezo wa ku come up na ma ideas kama hayo zaidi ya Bugatti? Ally kamwe anaweza kujaza uwanja kweli?
Sasa angalia hii video jinsi Ally kamwe anavyomkubali adui namba moja wa wanayanga aitwaye jemedari said
kama hamtaiona hatari ambayo yanga imejiweka basi akili zenu ni sifuri kabisa, ndiyo maana wafuasi wa jemedari Bugatti wana machungu yasiyosimulika mioyoni mwao
View attachment 2370935
View attachment 2370935