Kimenuka: Video hii ya Ally Kamwe yawaudhi wana Yanga

Kimenuka: Video hii ya Ally Kamwe yawaudhi wana Yanga

Kwenye somo la umbeya na propaganda ulipata grade F.

Kila siku unajaribu kupotosha ihapa jamvini lakini bado unaonekana 'hamnazo.

Uafisa wa habari ni 'professional' na ndio maana zimefanyika 'recruitment processes' na committee ikajiridhisha kua Ali Kamwe ana suit kwa hiyo position.

Unachojaribu kufanya hapa ni kuwagombanisha wanayanga na Ali Kamwe kupitia mbinu za kizamani.

Hata huyu Jemedari Said ana kadi ya Yanga tangu 2001.

Anachokifanya yeye na Haji sisi ndio tunaelewa na ndio maana Yanga as a club hawajatia neno lolote kuhusu Kazumari,Ila wewe ambaye unaonekana mgeni kwenye hii game ndio unapata tabu kuelewa.
 
Kwa hiyo jemedari ni adui namba moja wa wana yanga???duh jamaa yangu sasa unavuka mipaka...unajua kauli yako ni ya kichonganishi sana mkuu
msemaji wa yanga alipeleleka malalamiko official ya yanga kwa mmiliki wa EFM amfukuze kazi kazumari ina maana hilo hulijui , hujui kwamba wanayanga wengi wanamchukulia jamaa kama adui badada ya kuambiwa hivyona jenerali bugatti

Hujui kwamba wilson oruma alinusurika kifo arusha baada ya kuingia beef na manara ambayo aliihamishia kwa wana yanga?

Hujui kwamba ally kamwe alinusurika kifo tena siku ambayo wana yanga walimpiga hadi kumuuua shabiki wa coastal union? kosa lake ni manara kuwaambia jamaa anaichukia yanga na mayelle baad aya kuchangisha mchango wa kumpongeza George mpole kuwa mfungaji bora?

HUYAJUI YOTE HAYO? WANA YANGA MATATIZO BINAFSI YA MANARA WAMEKUBALI KUYABEBA NA TEAM PIA IMEYABEBA SO YES KAZUMARI NI ADUI WA MANARA KWA HIYO NI ADUI WA YANGA
 
Umemaliza kila kitu
mpeni kazi kazumari ,wilson oruma na walioshiriki kumchangia George mpole kumpongeza akiwepo Prisca kishamba.

Sababu Ally kamwe huyo mnayesema anawasafisha roho yake ilinusurika kutolewa pale Arusha siku mlipofanikiwa kkuutoa uhai wa mwana coastal union.

Buggati lilisema ally kamwe haipendi yanga na anamchukia mayelle ndiyo maana anachangisha mchango wa kumpongeza mpole
 
Yanga bingwa
 
Back
Top Bottom