Kimenuka: Video hii ya Ally Kamwe yawaudhi wana Yanga

Walimkubali Manara waje kumkataa Ally Kamwe kama sio unafiki ni nini
Manara alitoa sababu kwamba yote aliyoyasema akiwa simba alikuwa kalewa akawaomba wana yanga msamaha wakakubali sasa na huyu ally kamwe aombe radhi kwa hii video
 
Nimeshakujibu tayari! Cheo alichonacho huyo Ali Kamwe ni cha kuteuliwa! Hivyo mwishobwa siku atapimwa kwa output yake. Na siyo kwa sababu ya washauri alio kuwa nao.

Hata Haji Manara aliteuliwa kuwa msemaji wa Yanga kwa manufaa ya timu! Na siyo kwa sababu kwa sababu nyingine yoyote ile nje ya hii niliyo kutajia hapa.
 
Manara alitoa sababu kwamba yote aliyoyasema akiwa simba alikuwa kalewa akawaomba wana yanga msamaha wakakubali sasa na huyu ally kamwe aombe radhi kwa hii video
Unalazimisha tu vitu ambavyo havina kichwa, wala miguu! Na kwa bahati mbaya kwako, ni kwamba mashabiki wa Yanga ni waelewa sana! Hivyo wataishia tu kukupuuza.
 
hujajibu swali moja, wewe chuki zako kwa jemedari ulisubiri Hersi atoe tamko rasmi? sasa wanaomchukia Kazumari kama wewe wamechukizwa sana na hii video, heshimu uamuzi wao
 
Unalazimisha tu vitu ambavyo havina kichwa, wala miguu! Na kwa bahati mbaya kwako, ni kwamba mashabiki wa Yanga ni waelewa sana! Hivyo wataishia tu kukupuuza.
Mnampa Bugatti mzigo mkubwa sana, kashawasaidia kuondoa virusi viitwavyo Nugaz na Bumbuli sasa yamekuja mengine ya Ally kamwe
Kila mwana yanga anamchukia Jemedari na msemaji wa yanga aliandika malalamiko official ya club kwa mmiliki wa EFM kulalamikia chuki za mchambuzi huyo kwa team
Leo afisa wa club anamkubali adui huyo wa yanga na anachukua ushauri toka kwake HALAFU WEEWE UNATAKA WANAYANGA WACHUKULIE POAPOA TU
 
Bugatti ni mumeo?

Mbona unakasirika kirahisi akitakwa?


Wakati anaitukana Yanga ulikua bado hujafika mjini? Au smartphone zilikua hazijafika kijijini kwenu Namtumbo?

Sisi tunaangalia mafanikio ya team. Mambo binafsi ya watu hayatuhusu.
 
Manara unataka urais wa yanga kwa fitna na huna hela?
Angalia akina mzee mpili wasije kukuongezea busha la kilo 3
 
Haji manara hakukosea kusema kuwa huko utopoloni wenye akili ni watu watatu tu...baba yake, mzee kikwete na mama fatma karume...mliobaki wote ni mazezeta hamnazo!!

Hivi niwaulize , kuna mtu aliyekuwa akiichukia yanga kama Manara? Kuna mtu aliyekuwa akiitukana yanga zaidi ya manara? Mbona alipojiunga nanyi mlimfurahia na mpk sasa hv mnampigania?
 
Matusi ya nini sasa?mbona huko utopoloni tusi lenu ni mambo ya kuzibua mtaro tu? au ndo effects za waarabu na wasomali, yaani mnawaza mambo ya kikabwili tu 24/7
Leo niko na Bi Mkubwa, kesho kutwa ndio zamu yako!
 
Bugatti ni mumeo?

Mbona unakasirika kirahisi akitakwa?


Wakati anaitukana Yanga ulikua bado hujafika mjini? Au smartphone zilikua hazijafika kijijini kwenu Namtumbo?

Sisi tunaangalia mafanikio ya team. Mambo binafsi ya watu hayatuhusu.
Onaa hili pungazee sijui na wewe uko kwenye list ya vidosho vya mzee tozi?
 
Manara alitoa sababu kwamba yote aliyoyasema akiwa simba alikuwa kalewa akawaomba wana yanga msamaha wakakubali sasa na huyu ally kamwe aombe radhi kwa hii video
Kama Yanga wanapokea walevi wanaolewa miaka 20 mfululizo basi wamuelewe na huyu aliyelewa misimu miwili tu
 
1. Jemedari sii adui na wale hajawahi kuwa adui wa Yanga bali anamkosoa yule Mzee wa kuoa ambaye huwa anajiona mafanikio yote kwenye timu husababisha kwa mdomo wake na huwa hataki mpinzani, mshindani wala kuambiwa ukweli akikosea

2..Kuliwahi kuibuka mgogoro kwenye media kati ya jemedari na mzee wa kuoa

3. Majuzi tuliposikia Kamwe anawania nafasi utopoloni, mzee ziliibuka habari kuwa mzee wa totoz anamtisha bwana mdogo eti asigombee atamwaribia umaarufu wake pale kwamba akumbuke fadhila kuwa ndiye aliyempa mtonyo pale kwenye media ya juice

4. Kwa kitendo cha bwana mdogo kuwa ndio mkuu wa kitengo cha habari, maana yake mzee wa kuoa inabidi awe chini ya bwana mdogo kupokea maelekezo ya kazi nini cha kusema na nini sii cha kusema, na naamini kwa kuwa yeye sii msemaji bali mhamasishaji, inabidi atafutiwe lorry na kile kipazà sauti cja kuuzia dawa za mende azunguke mitaani kuhamasisha kama yule jamaa wa makolo

5. Hili jambo wakuoa halitamfuraisha kwani anataka akiwa sehemu awe ndiye msemaji mkuu na mhamasishaji hataki mshindani wala kurekebishwa lazima aondoke pale hana miaka pale tusubiri kifungo cha tiefu efu kiishe ndio oune vita ya urusi na ukrain
 
Propanda za kipumbavu
 
Kwa hiyo jemedari ni adui namba moja wa wana yanga???duh jamaa yangu sasa unavuka mipaka...unajua kauli yako ni ya kichonganishi sana mkuu
 
Tafta kazi ufanye kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…