Kimetulamba kwenye written interview

Kimetulamba kwenye written interview

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Hili ni tatizo, Tayari.
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Hata hivyo una mme anakutosha, mshawishi mfungue maabara yenu.
 
Wamekuletea maswali ya O level ili wajue kama ulikuwa unapiga msuli kitanda au msuli mloweko😀😀
 
We nae unakuwa huelewi ule usaili ulikuwa wa medical lab technician sio wa mwalimu Wa kemia /physics
Kumbuka kwanini nitolewe maswali nje ya taaluma yangu?.
😂😂😂 daaah haya sawa bhn, ila si utakuwa hujauacha salama 🙆🙆
 
Back
Top Bottom