Hii kauli ndio imemuweka lisu mahabusu mpaka LeoWakinukishe tu! 📢📢
Labda nyaya zikatike.Tarime nayoifahamu mimi, kama watalazimisha Esther kuwa mbunge wakati wananchi hawamtaki CCM itakula kwao. Watachagua upinzani labda awe mgombea peke yake...
ccm mwaka huu wanalo! Ndani ntiti nje ntiti😀Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa :
View: https://youtu.be/SpHCTAw5xJw?si=U1wDtgJVAng4qDJR
WAACHE WAFU WAWAZIKE WAFU WENZAO, WAKIMALIZA KUWAUWA WATAGEUKIANA WAANZE KUUWANA WAO KWA WAO.Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa :
View: https://youtu.be/SpHCTAw5xJw?si=U1wDtgJVAng4qDJR