Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Its okay mwaya usijali

Ni vile tu kwetu tuliosave it tastes sawa like a mode of transport lakini kuna so much joy kuona umefanikiwa kitu chako
 
Haaha siku nikija nunua gari nahisi day 1 ntalala ndani ya gari[emoji23][emoji23] pia kuiacha gari nje mimi nilale ndani sijui kama usingizi utakuja. Hongereni wote mlioweza kuwa na magari. Napenda IST new model iwe gari yangu ya kwanza[emoji14]
Unafeli wapi mrembo ?..
Bro Extrovert hajakununulia Tu wakati yeye ni mtaalamu wa hayo makitu?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ulizidi mno ina maana kwenu hakukuwahi kuwa hata na mkweche wa pikipiki au gari
 
Sijawahi kumiliki sawa...jipe moyo na kicorolla chako lione!
Nikushauri tu kistarab, ukiona kitu hakipo level zako katika mijadala ya humu bora ukoment ile imoji ya fayaa ([emoji91][emoji91]) kisha soma koment za wengine.

Ila ukitaka kujitia much know ilihal hujui unajidhalilisha sana tena mnoo.

Google hapo maana ya saloon/sedan cars uone zinafafanaje na zimeundwaje.

Kuhusu kuwa na kicorolla sijui, ila ninachojua umri wangu ni miaka 29 december nafunga 30 yrs, na gari nililo nalo ni la nne toka nianze kumiliki na kuuza, gari ya mwisho kuachana nalo ni Harrier nyeusi matako ya nyani, kwa sasa sikulipenda kwa sababu ukikata kona kali kwenye spidi kubwa inakosa balance, lakin pia hata ukiwa barabarani ukifika speed ya 120 kwenda juu unakosa utulivu barabarani.

Endelea kufurahi, kulidhika kwa kujipa furaha kwamba yule hana kitu kama mimi.
 
Hebu nitolee mgazeti wako kama wa mange!

Mwanaume mzima unaniandikia ligazeti kuubwa kisa nimesema sipendi visaloon cars [emoji849]

We unanishauri kama nani? Blah blah tako la nyokoz sijui kitu gani nimekuuliza hayo yote?

Pita hivi[emoji117]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msigombane basi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wewe ulizidi mno ina maana kwenu hakukuwahi kuwa hata na mkweche wa pikipiki au gari
We madingi zetu kwenye magari yao unawajua unawasikia.
 
Its okay mwaya usijali

Ni vile tu kwetu tuliosave it tastes sawa like a mode of transport lakini kuna so much joy kuona umefanikiwa kitu chako
Of course ni ile feeling ya uhuru wa kumiliki chako ndio huleta hiyo hali ya kimuhemuhe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…