Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Noma sana!...ila gari ni gari inategemea pia interest ya mtu
True ila sasa ukiwa unatumia baby walker halafu anapita bwana mdogo tena nlulie mgepu umri anaendesha subaru, prado, Mitsubishi, au hata Harrier tu SUV kubwa dah unaona hata mamsapu hapo pembeni anakutazama jicho la dah we nae si ujichange tupate hiyo kubwa. Haka tuna aibika ujue.
 
Na hamna kitu kinawaumiza madereva wa Passo na vitz jinsi watu wanawachapa mkiwa safarini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
To be honest I was wondering!, How that possible!?, ulipoandika hivi ndo nikaelewa kumbe, when you start driving at early age, huwezi kua hivyo bcoz owning a car inakua kitu cha kawaida sana, tho unakua happy ku own your dream car lakin not that much😆..... by the way I started driving at 15 years na nilikua naend popote napotaka, some of my friends walikua wanaenda secondary school na gari, so today..even if niki own Buggati I don't think nitakua hivyo, zaidi yakuwa proud of myself to own a such expensive car in the world. Sijui kwann Mimi huwa I get bored easily naweza furahia kitu kwa muda mchache sana after that naona kawaida ama nisione thamani yake tena 😟 so sad.
 
Hahahaaa hapa kama umeniona, nishaandaa list ya nyimbo na uwezo wa kununua kwa sasa sina lakini najua one day yes. Nawaza siwezi acha weka mafuta full tank
Iko siku mkuu utanunua kikubwa ndoto iendelee kusimama.
 
Kama tu simu mpya ilikuwa inanipa wehu siku nikimiliki ndinga ntadata mara 4 yake

Ila ukweli Mie ni mtu ambaye sinaga mzuka na magari sema napenda mapikipiki yale makubwa nataman kweli kulimiliki
 
Utapata ni swala la kuweka mkakati tu. Ila wanawake magari ni sehemu ya passion yenu kweli au mnatuiga wanaume?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi gari ni kama samaki na maji, hiyo ni miaka yote.
Nasisi tunapenda mkuu, ila mimi na huu uoga huwa nawaza hivi hii Dar hizi vurugu ntaweza kweli kuendesha, naonaga watu wote wako rough barabarani 😂
 
Hiyo namba 11..
Kuna jamaa yangu mara ya kwanza kumiliki gari alikuwa hatulii, kila muda anakuwa na safari tu.
Alikuwa anaamka hata saa 6 usiku anaingia road na atarudi hata saa 8
Kuna muda alikuwa anaweza akatoka Kinondoni akaenda hata Tegeta ukimuuliza vipi tena Kuna issue gani huko, anakuambia ameenda kula msosi😄 wakati sehemu za chakula zimejaa Kinondoni.
Ni kawaida ni wenge Fulani ambalo kila mtu anayemiliki kitu kwa mara ya kwanza anaweza kuwa nalo
 
Ilikuwa Toyota camry miaka ileee ya Ben… nikatia ful wese naenda test gari ka iko poa Dar Moro ful speed kushindana na Aboud..Nikikumbuka ule ujinga na tabasamu tu kimya kimya. Iko juu ya mawe kama skrepa nikipita naangalia tu nakumbukia enzi na nshapiga madogo stop kuuza kama chuma chakavu hadi kizazi cha sita....nikiwa kwa Kaisari siku moja moja ntakuwa nachungulia kaa ipo nifurahi tu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uliyegundua automatic tech kwenye magari agiza kilo mbili na mafungu matano tafadhali.
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haahaaa

Hataree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…