Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Mimi nilinunua ka vitz old model no B ,ndo kalikuwa kangu ka kwanza ...

kalitunzwa mpka aloniuuzia ananiuliza ndo hiii gar niliokuuzia au??[emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee car wash sana tu...wese fulu mno

Hata akija mshikaji ntampeleka ppte

ni ujinga but its natural being
Aisee, ndinga inang'aa muda wote yani😂 sahivi bado kapo mkuu au ulikauza?
 
Mi nakumbuka tulikuwa twailinda na wife, geti likiguswa tu naanshwa kuangalia gari. Nikaona ni kazi nikafunga Alarm, ikilia usiku naamshwaa kuiangalia kama ipo.
Nikaona niiweke karibu na dirisha kabisa 2016 hiyo
Hahahahah haya mambo ndo hufanya Maisha yaende
 
UMEPIGWAAA!!! haizidi 15 point something mpka 14 ...kama unabisha nkutumia namba ya agent maarufu town uende ofisini kwao ukapate qoutation ya hyo gari
Acha ubishi mkuu hizo gari minimum price ni 17m.. sasa wewe na huyo agent labda hizo gari kama anazitoa Singapore huko ambapo wanaokota tu magari afu mnakuja uziwa
 
Ngoja nkae kimya...mzee kweli hili gari lako la kwanza [emoji23][emoji23] hii ist new model haizidi 15 / 14 .....

siyo mbaya acha ageny apate cha juu ila 19.4 yani naionaa KLUGER kwa mbaaaaaaliii nkiongeza hela ya mboga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dadeki we jamaa. Naomba unioneshe huyo agent ambae anakupa hii gari kwa 14m.
 
Haaha siku nikija nunua gari nahisi day 1 ntalala ndani ya gari[emoji23][emoji23] pia kuiacha gari nje mimi nilale ndani sijui kama usingizi utakuja. Hongereni wote mlioweza kuwa na magari. Napenda IST new model iwe gari yangu ya kwanza[emoji14]
Naomba niwe sponsor wako

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
huu uzi leo ndo nimeamini kumbe sio wote JF wana magari😛😛😛. Nyuzi nyingi za magari kila mtu anatoa user experience yaani wachangiaji wote wana magari, kumbe sio bhana.
Mi huwa mtu akiingia na matope au vumbi pale kwenye kikanyagio mlangoni huwa nachukia sana, sasa wakiingia madogo wakachafua nawaangalia🙄🙄 halafu naishia tu kusema hii ni gari ya familia na hawa ndo wenyewe haswa napiga moyo konde nawasha gari nasepa nao.
Madogo wachafuzi sana wa magari
 
UMEPIGWAAA!!! haizidi 15 point something mpka 14 ...kama unabisha nkutumia namba ya agent maarufu town uende ofisini kwao ukapate qoutation ya hyo gari

Duuuh IST new model 14 millioni[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom