Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Aisee, ndinga inang'aa muda wote yaniπŸ˜‚ sahivi bado kapo mkuu au ulikauza?
 
Mi nakumbuka tulikuwa twailinda na wife, geti likiguswa tu naanshwa kuangalia gari. Nikaona ni kazi nikafunga Alarm, ikilia usiku naamshwaa kuiangalia kama ipo.
Nikaona niiweke karibu na dirisha kabisa 2016 hiyo
Hahahahah haya mambo ndo hufanya Maisha yaende
 
UMEPIGWAAA!!! haizidi 15 point something mpka 14 ...kama unabisha nkutumia namba ya agent maarufu town uende ofisini kwao ukapate qoutation ya hyo gari
Acha ubishi mkuu hizo gari minimum price ni 17m.. sasa wewe na huyo agent labda hizo gari kama anazitoa Singapore huko ambapo wanaokota tu magari afu mnakuja uziwa
 
Dadeki we jamaa. Naomba unioneshe huyo agent ambae anakupa hii gari kwa 14m.
 
Haaha siku nikija nunua gari nahisi day 1 ntalala ndani ya gari[emoji23][emoji23] pia kuiacha gari nje mimi nilale ndani sijui kama usingizi utakuja. Hongereni wote mlioweza kuwa na magari. Napenda IST new model iwe gari yangu ya kwanza[emoji14]
Naomba niwe sponsor wako

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Madogo wachafuzi sana wa magari
 
UMEPIGWAAA!!! haizidi 15 point something mpka 14 ...kama unabisha nkutumia namba ya agent maarufu town uende ofisini kwao ukapate qoutation ya hyo gari

Duuuh IST new model 14 millioni[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…