Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

True. Kuown gari mapema inakuzoesha. Ila nchi zetu za kipato cha vitumbua huwa ni ngumu mzazi hata kukununulia baiskeli tu.
 
Iko siku mkuu utanunua kikubwa ndoto iendelee kusimama.
Yeah na asiifanye kuwa ndoto iwe ni deni. Yaani kutafuta pesa ya gari jivalishe akili ya mtu ambaye ana mke mjamzito halafu hana hata mia.

Au una mgonjwa anatakiwa fanyiwa upasuaji haraka ndani ya muda maalumu. Au unadaiwa na bank na ni lazima ulipe.
 
Kama tu simu mpya ilikuwa inanipa wehu siku nikimiliki ndinga ntadata mara 4 yake

Ila ukweli Mie ni mtu ambaye sinaga mzuka na magari sema napenda mapikipiki yale makubwa nataman kweli kulimiliki
@financial services umeona nilichokuwa nakwambia. Haya mojawapo huyu hapa. Unaona yeye ni pikipiki kubwa
 
Hapo kwenye mbu nimecheka, ila furaha ya gari hata mbu sitowasikia[emoji23]
Kiukweli IST new model huwa naipendaga tu hata nikija kupata ndinga nyingine ila hiyo lazima nije kuijaribu.[emoji7]
Ha ha ha ha chonga kibubu tuje kukuchangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…