Kimya ni jibu sahihi sana

Kimya ni jibu sahihi sana

Naunga mkono hoja yako. Hii mbinu ni kubwa sana, Sema tu watu hujiona wanyonge wakikaa kimya na kujikuta wanaamua kuoe, kisha wanazalisha mengine.
🤣 Na kukunjana juu
 
unajua kila mtu huwa kuna topic anazoendana nazo..., sometimes unataka kuchangia ila una kuta topic zakikuda, me najiweka silent mode au nasepa
🤣🤣Eti za kikuda 🙌
 
Ukweli ukimya ni mzuri lakini pia una Madhara yake watu wasipokuelewa wanaona rahisi kukuzushia kiburi au una linga na pia sababu haujibu kitu

Wataona ni fursa hiyo...sio Kila mara ukimya unasaidia
Ni kweli...Kuna watu hutafsiri Ukimya kama unyonge au uoga....hapa inabidi uvunje ukimya kulinda utu wako.
 
Tena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya🙏

Ndiyo hivyo🤜
Yaani kabisaaa..!!! Nimepita humu.. Usiwe na mazowea ya kujibu au kutuhumu kila unapoona mwingine kachemsha..!! Ukijenga mazowea ya kujibu au kuhoji kila unapohisi mwenzio kachemsha, siku ukichemsha wewe utajua hujui. Maana utaonekana kabisa umechemsha kwa vile si kawaida yako kukaa kimya, na huna maelezo ya kueleweka..!!
 
Ukiwa mwongeaji,siku kikikuharibikia Kila mtu atajua...maana unakuwa kimya🤣🤸
 
Back
Top Bottom