Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo kuna watu wanataka uwe talkative kama wao...Acha wakuone ivoivo 🤣
tufanye nini mwalimu ili tulikurupue shari kamili!?Bora Shari kamili kuliko nusu Shari, kukaa kimya Ni Kama nusu Shari tu.
unajua kila mtu huwa kuna topic anazoendana nazo..., sometimes unataka kuchangia ila una kuta topic zakikuda, me najiweka silent mode au nasepaIli wakufahamu vyema kupitia ongea yako
Ni kweli...Kuna watu hutafsiri Ukimya kama unyonge au uoga....hapa inabidi uvunje ukimya kulinda utu wako.Ukweli ukimya ni mzuri lakini pia una Madhara yake watu wasipokuelewa wanaona rahisi kukuzushia kiburi au una linga na pia sababu haujibu kitu
Wataona ni fursa hiyo...sio Kila mara ukimya unasaidia
That's the post.Tena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya[emoji120]
Ndiyo hivyo[emoji2936]
Shari kamili unaweza tolewa gego au kuuchafua moyo mkuu
Yaani kabisaaa..!!! Nimepita humu.. Usiwe na mazowea ya kujibu au kutuhumu kila unapoona mwingine kachemsha..!! Ukijenga mazowea ya kujibu au kuhoji kila unapohisi mwenzio kachemsha, siku ukichemsha wewe utajua hujui. Maana utaonekana kabisa umechemsha kwa vile si kawaida yako kukaa kimya, na huna maelezo ya kueleweka..!!Tena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya🙏
Ndiyo hivyo🤜
Ukiwa mwongeaji,siku kikikuharibikia Kila mtu atajua...maana unakuwa kimya🤣🤸Yaani kabisaaa..!!! Nimepita humu.. Usiwe na mazowea ya kujibu au kutuhumu kila unapoona mwingine kachemsha..!! Ukijenga mazowea ya kujibu au kuhoji kila unapohisi mwenzio kachemsha, siku ukichemsha wewe utajua hujui. Maana utaonekana kabisa umechemsha kwa vile si kawaida yako kukaa kimya, na huna maelezo ya kueleweka..!!
Ukimwa hutoa mateso ya kisaikolojia kwa unaowakalia kimya... !! Hasa kama unaonewaUkimya ni silaha inayoweza kukupa ushindi dhidi ya wale maadui waliozoea kuchukua maneno ya watu na kuyageuza, kwa lengo la kukuchafulia sifa machoni kwa watu.