Kimya ni jibu sahihi sana

Kimya ni jibu sahihi sana

Kimya huficha tabia ya mtu,hawawez kukutambua
Through kuongea, wengine wanaweza kujua huyu ni wa kiswazi, huyu wa matawi ya juu, huyu kasoma, huyu LY wa la saba B, huyu hivi na huvu vile..!! Pamoja na hayo, bado tujihadhari na wale wa kujikamafleji..!!! Anadisplay tabia hii, kumbe yeye ni wa tabia ileee.!!
 
🤣🤣Wasiojulikana hao
 
Ukiwa kimya ukaona watu wanakuchukia ujue hao ndio Adui zako wanashindwa wakuanzie wapi?? Watakuwa wanakuzushia mambo mengi ili Ujibu wajue pa kukupata we wazoom tu Usiwajibu!
 
Yeah,ndo dawa yao
 
Back
Top Bottom