Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kabisa, ukimya ni suluhu ya matatizo mengi sana..!!Ukiwa mwongeaji,siku kikikuharibikia Kila mtu atajua...maana unakuwa kimya🤣🤸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, ukimya ni suluhu ya matatizo mengi sana..!!Ukiwa mwongeaji,siku kikikuharibikia Kila mtu atajua...maana unakuwa kimya🤣🤸
Unajuwa tabia ya mtu unaweza ukaipata kwenye namna anavyoongea. Ukikaa kimya unawapa shida sana wananchiWanahaha Ile mbaya 🤣
Through kuongea, wengine wanaweza kujua huyu ni wa kiswazi, huyu wa matawi ya juu, huyu kasoma, huyu LY wa la saba B, huyu hivi na huvu vile..!! Pamoja na hayo, bado tujihadhari na wale wa kujikamafleji..!!! Anadisplay tabia hii, kumbe yeye ni wa tabia ileee.!!Kimya huficha tabia ya mtu,hawawez kukutambua
Thanks,Mafanikio nimeshaanza kuona na sasa nakula matunda yake.Usiache mkuu,fanya Yako kimyakimya result zitajibu🤜
short and sweetTena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya🙏
Ndiyo hivyo🤜
🤣🤣Wasiojulikana haoThrough kuongea, wengine wanaweza kujua huyu ni wa kiswazi, huyu wa matawi ya juu, huyu kasoma, huyu LY wa la saba B, huyu hivi na huvu vile..!! Pamoja na hayo, bado tujihadhari na wale wa kujikamafleji..!!! Anadisplay tabia hii, kumbe yeye ni wa tabia ileee.!!
NI hatari sana hao.. Unaweza ukadhani ni rafiki, ukajiachiaaaa.!!! Kumbe joka🤣🤣Wasiojulikana hao