Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

Kabila : Wakurya
Wenyeji(mkoa): Mara
Sifa nzuri: hawajui kutelekeza watoto (yan ukizaa nae alaf mkaachana atafanya juu chini achukue wa(m)toto wake ata kwa kumuiba)
Sifa mbaya: wanyanyasaji(uzushi tu hii ni tabia ya mtu sio kabila), nawapendI dharau.

Nahisi hizo zinatosha
Ukiwa mbishi na mwenye dharau utapigwa tu. Huo sio unyanyasaji no kujitakia
 
Kwanini usimuulize direct huyo shemeji yako mtarajiwa? unafanya reseach JF ambako hata hatumjui huyo mtu? kwani Wakurya wote wana tabia za kufanana? kila jamiii ina watu wazuri na watu wabaya,tabia ni ya mtu husika na sio ya kabila lote.
 
Hao ni waluhya toka Kenya,wanasifika kwa ustaraabu, wapole, hawana hasira, wanajua kuhandle wanawake vizuri,walinzi wazuri wa familia, siku wewe na mdogo mkimchokoza atawapa zawadi ya upendo, Karibu Sirari mura.
[emoji23] and vice versa is true
 
Habari zenu, husikeni na kichwa cha swali hapo juu,.

Niliwahi kumfatilia nikajua kazaliwa huko Dar maeneo ya Ukonga , ila sijawai kusikia kuna mzaramo anaitwa Chacha

Kuna kijana hapa naona yupo na mdogo wangu wa kike kwa takribani mwaka na nusu sasa, kapata kazi idara falni na anaonesha nia ya kuoa, nimeona nimpigie ka reseach ka mapema.

Jinsi alivyo ni mrefu, mchangamfu kimtindo, ni msabato.

Ni watu wa wapi ?
Ni kabila lipi ?
Stereo types zao nzuri na Mba

Ukiwa mbishi na mwenye dharau utapigwa tu. Huo sio unyanyasaji no kujitakia
Hawa nimekaa nao sana ni watu wavisasi sana na mahasira yasiyoisha tegemea kupata matatizo makubwa hapo ni watu katili sana na wanauwezo mkubwa sana kuficha uhalisia wao mpaka ukamwamini lakini utajuta
 
Kwanini usimuulize direct huyo shemeji yako mtarajiwa? unafanya reseach JF ambako hata hatumjui huyo mtu? kwani Wakurya wote wana tabia za kufanana? kila jamiii ina watu wazuri na watu wabaya,tabia ni ya mtu husika na sio ya kabila lote.
Huyo anafanya mzaha tu, kuna Mtu asiyejua Chacha ni Mkurya, haya huyo dada ake hakumuuliza anayetaka kumuoa kabila gani, angalau angekuja kuuliza sifa za Wakurya kuliko kujifanya hajui kabila la mtu anayetaka kumuoa dada ake ila anajua jina tu,

Btw, Mkurya akiwa Msabato hua wastaarabu sana hawana yale matabia wanayosifika kwa huo mkoa wao, wala hawakeketi mabinti zao.
 
Kabila : Wakurya
Wenyeji(mkoa): Mara
Sifa nzuri: hawajui kutelekeza watoto (yan ukizaa nae alaf mkaachana atafanya juu chini achukue wa(m)toto wake ata kwa kumuiba)
Sifa mbaya: wanyanyasaji(uzushi tu hii ni tabia ya mtu sio kabila), nawapendI dharau.

Nahisi hizo zinatosha
Mkuu hiyo dhana ya unyanyasaji ni kama umefunika jambo,Wakurya wana mfumo dume haswa,mwanamke hana sauti na mikono yao ni mepesi kupiga mtu. Hata kama haya mambo yapo mikoa mingine,lakini kwa wakurya naona kumezidi.
 
Huyo anafanya mzaha tu, kuna Mtu asiyejua Chacha ni Mkurya, haya huyo dada ake hakumuuliza anayetaka kumuoa kabila gani, angalau angekuja kuuliza sifa za Wakurya kuliko kujifanya hajui kabila la mtu anayetaka kumuoa dada ake ila anajua jina tu,

Btw, Mkurya akiwa Msabato hua wastaarabu sana hawana yale matabia wanayosifika kwa huo mkoa wao, wala hawakeketi mabinti zao.
Hii hoja yako sijui kama ni kweli,Asilimia kubwa ya watu wa Mara ni wasabato alafu Catholic,haya makanisa mengine tunasali wageni tu.
 
Hawa nimekaa nao sana ni watu wavisasi sana na mahasira yasiyoisha tegemea kupata matatizo makubwa hapo ni watu katili sana na wanauwezo mkubwa sana kuficha uhalisia wao mpaka ukamwamini lakini utajuta
Umekaa nao wapi?
Narudia Tena mkurya hapendi dharau; ukiwa ni , TU mwenye dharau utamuona mkurya ni mtu kbaya sana maana huwa wanamalizana na wewe hapo hapo.
Visasi ni kawaida Yale mambo ya kwenye biblia ya akikupiga shavu hili mpe na upande mwingine hayapo.

Kwa wanaowajua wakurya vizuri lazima atakuambia hakuna kabi;a wakarimu kama wakurya na ni watu ambao hawana wivu wa kijinga.

Mkurya akikupa onyo tii; ukijifanya mbabe utaumia
 
Umekaa nap wapi?

hawa kwa wizi ,Dhuluma ,Unyanganyi kila aina ya tabia mbaya ni yao
 
Habari zenu, husikeni na kichwa cha swali hapo juu,.

Niliwahi kumfatilia nikajua kazaliwa huko Dar maeneo ya Ukonga , ila sijawai kusikia kuna mzaramo anaitwa Chacha

Kuna kijana hapa naona yupo na mdogo wangu wa kike kwa takribani mwaka na nusu sasa, kapata kazi idara falni na anaonesha nia ya kuoa, nimeona nimpigie ka reseach ka mapema.

Jinsi alivyo ni mrefu, mchangamfu kimtindo, ni msabato.

Ni watu wa wapi ?
Ni kabila lipi ?
Stereo types zao nzuri na Mbaya?
hao ni wa serengeti tarime sifa yao
sio wachoyo
sio wavivu
wanawivu sana tena wa kupindukia
hawako tayali kuona mke wao akiisimama na mwanaume hata kama walisoma wote au kwao 1
wanapika wake zao kama punda
kumtia kilema mke kwao si ajabu
kumpiga mke mbele ya watu kama sokoni stendi harusini kwao hilo sio tatizo hao jamaa mwanamke yeye aitikie ndio kila atakalo ambiwa na mumewe
akiwa mkuriya 1 anakuwa msitarabu sana mpole lakini wakiwa wengi kuanzia 2 na kuendelea tayali uanza tabia zao

akimuacha mwanamke mfano wawe dar mkuriya akichukua watoto akawapeleka kwao huko serengeti mama yao asitegemee kuwaona tena
mkuriya akiachana na mwanamke akaokewa pengine baadae lazima aende kumafanyia fujo hata kuiba watoto alio wazaa pale hata kwa mapanga

muriya akiwa anampiga mkewake achagua sehemu ya kumpiga au cha kumpigia fimbo jiwe panga nondo nk
pia akiwa anampiga mke wake hakuna anae weza kuamua ugomvi huo au kumkataza awe baba yake mama yake kaka yake jirani yake ukiingilia ugomvi huo umenunua uasama wa kudumu

ukienda serengeti tarime wanawke wengi wana ngeo wengine ni walemavu kwa sababu ya kipigo

mkuriya asome asomavio awe na pesa aishi na makabila tofaoti lakini awahachi tabia yao ya asili labda mkuriya alie zaliwa sehemu ambako hakuna wakuriya na akakulia huko pia mama awe kabila ingine

mfano kila utakae muona akiendesha baisikeli kapakia mayai dar nikuriya chunguza chini ya terei za mayai kuna sime hiyo sime sio pambo!!

wako kitunda muda mrefu wamezaliwa pale lakini tabia zao nizile zile za tarime na serengeti na bunchari

mimi binafsi mtoto wangu siwezi muozesha mkuriya labda aende yeye lakini nitamtadharisha achague kusuka au kunyoa
 
Back
Top Bottom