Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
😂😂😂 Hasa hasa Zanzibar wamejaa Santa huko. Ila kweli mama anaonekana kuwa na damu ya kikurya vile😂Wacha kiherehere!! ...hamkomi tuuu?? kwani huyo mleta mada hakusoma makabila ya Tanzania drs la tatu?....km ni kweli basi ni kilaza!! weye unajipendekezaaaaaa kujibu kinacho eleweka!
kwa taarifa yako kina chaha wapo mpaka south A. yoote km ilivo, Uganda ndo usiseme, Nsumbiji, zimbabwe, UK upoo ukoo maarufu wa Magreth chacha! kina Indira Ghati-India hukooo! kina Marwa wamejaa Middle EASt!
Wazaramo/wachaga/zanzibar/ wanyakyusa nk! weeengi walitamani mbegu za askari wakakamavu! wakapewa bureee! mpaka leo mikoa yao imeendelea mnoo!...hata Mama ana damu ya kikurya si unamuona alivo mkakamavu!