Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

Huyo anafanya mzaha tu, kuna Mtu asiyejua Chacha ni Mkurya, haya huyo dada ake hakumuuliza anayetaka kumuoa kabila gani, angalau angekuja kuuliza sifa za Wakurya kuliko kujifanya hajui kabila la mtu anayetaka kumuoa dada ake ila anajua jina tu,

Btw, Mkurya akiwa Msabato hua wastaarabu sana hawana yale matabia wanayosifika kwa huo mkoa wao, wala hawakeketi mabinti zao.

Be blessed
 
Habari zenu, husikeni na kichwa cha swali hapo juu,.

Niliwahi kumfatilia nikajua kazaliwa huko Dar maeneo ya Ukonga , ila sijawai kusikia kuna mzaramo anaitwa Chacha


Kuna kijana hapa naona yupo na mdogo wangu wa kike kwa takribani mwaka na nusu sasa, kapata kazi idara falni na anaonesha nia ya kuoa, nimeona nimpigie ka reseach ka mapema.

Jinsi alivyo ni mrefu, mchangamfu kimtindo, ni msabato.

Ni watu wa wapi ?
Ni kabila lipi ?
Stereo types zao nzuri na Mbaya?
Kule wanakotumia mapanga kaa Kwa tahadhari nae
 
Kabila : Wakurya
Wenyeji(mkoa): Mara
Sifa nzuri: hawajui kutelekeza watoto (yan ukizaa nae alaf mkaachana atafanya juu chini achukue wa(m)toto wake ata kwa kumuiba)
Sifa mbaya: wanyanyasaji(uzushi tu hii ni tabia ya mtu sio kabila), nawapendI dharau.

Nahisi hizo zinatosha
Wacha kiherehere!! ...hamkomi tuuu?? kwani huyo mleta mada hakusoma makabila ya Tanzania drs la tatu?....km ni kweli basi ni kilaza!! weye unajipendekezaaaaaa kujibu kinacho eleweka!

kwa taarifa yako kina chaha wapo mpaka south A. yoote km ilivo, Uganda ndo usiseme, Nsumbiji, zimbabwe, UK upoo ukoo maarufu wa Magreth chacha! kina Indira Ghati-India hukooo! kina Marwa wamejaa Middle EASt!

Wazaramo/wachaga/zanzibar/ wanyakyusa nk! weeengi walitamani mbegu za askari wakakamavu! wakapewa bureee! mpaka leo mikoa yao imeendelea mnoo!...hata Mama ana damu ya kikurya si unamuona alivo mkakamavu!
 
We jamaa mi naona unatafuta attention tu, huwezi kuwa serious ushidwe kujua kina Chacha ni watu wa wapi ama kabila gani.

Any way, hao raia asili yao ni mkoa wa Mara hasa wilaya ya Tarime. Kabila lao ni wakurya, hawa jamaa wanaaminika kwa ujasiri sana. Kuhusu zile tabia wanazo pakiziwa hiyo ni kutokana na mtu mwenyewe huwezi kumuukumu mtu kisa kabila lake. Kila mmoja ana tabia zake
 
Kabila : Wakurya
Wenyeji(mkoa): Mara
Sifa nzuri: hawajui kutelekeza watoto (yan ukizaa nae alaf mkaachana atafanya juu chini achukue wa(m)toto wake ata kwa kumuiba)
Sifa mbaya: wanyanyasaji(uzushi tu hii ni tabia ya mtu sio kabila), nawapendI dharau.

Nahisi hizo zinatosha
Nashangaa mpaka sasa hujapewa 'Likes' nyingi mno kwa huu Ukweli wako Kuntu uliouandika kutuhusu Sisi Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma )
 
Hao ni waluhya toka Kenya, wanasifika kwa ustaraabu, wapole, hawana hasira, wanajua kuhandle wanawake vizuri, walinzi wazuri wa familia, siku wewe na mdogo mkimchokoza atawapa zawadi ya upendo, Karibu Sirari mura.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jana kwenye taarifa ya habari azam mkurya mmoja kampiga mke wake kamvunja mguu kisa hajalima akamaliza shamba.
Na bado Usiku Kitandani alipigwa tena 'Kibaiolojia' na najua alisikia 'Utamu Kunoga ' sana tu kwani Tanzania nzima hakuna Wanaume wanaojua Kusugua vyema ( vizuri ) Mbunye za Wadada ( Wanawake ) na Wakafurahi na Kuridhika kama wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma )
 
hao ni wa serengeti tarime sifa yao
sio wachoyo
sio wavivu
wanawivu sana tena wa kupindukia
hawako tayali kuona mke wao akiisimama na mwanaume hata kama walisoma wote au kwao 1
wanapika wake zao kama punda
kumtia kilema mke kwao si ajabu
kumpiga mke mbele ya watu kama sokoni stendi harusini kwao hilo sio tatizo hao jamaa mwanamke yeye aitikie ndio kila atakalo ambiwa na mumewe
akiwa mkuriya 1 anakuwa msitarabu sana mpole lakini wakiwa wengi kuanzia 2 na kuendelea tayali uanza tabia zao

akimuacha mwanamke mfano wawe dar mkuriya akichukua watoto akawapeleka kwao huko serengeti mama yao asitegemee kuwaona tena
mkuriya akiachana na mwanamke akaokewa pengine baadae lazima aende kumafanyia fujo hata kuiba watoto alio wazaa pale hata kwa mapanga

muriya akiwa anampiga mkewake achagua sehemu ya kumpiga au cha kumpigia fimbo jiwe panga nondo nk
pia akiwa anampiga mke wake hakuna anae weza kuamua ugomvi huo au kumkataza awe baba yake mama yake kaka yake jirani yake ukiingilia ugomvi huo umenunua uasama wa kudumu

ukienda serengeti tarime wanawke wengi wana ngeo wengine ni walemavu kwa sababu ya kipigo

mkuriya asome asomavio awe na pesa aishi na makabila tofaoti lakini awahachi tabia yao ya asili labda mkuriya alie zaliwa sehemu ambako hakuna wakuriya na akakulia huko pia mama awe kabila ingine

mfano kila utakae muona akiendesha baisikeli kapakia mayai dar nikuriya chunguza chini ya terei za mayai kuna sime hiyo sime sio pambo!!

wako kitunda muda mrefu wamezaliwa pale lakini tabia zao nizile zile za tarime na serengeti na bunchari

mimi binafsi mtoto wangu siwezi muozesha mkuriya labda aende yeye lakini nitamtadharisha achague kusuka au kunyoa
Yaami ulivyochangia nikadhani umeolewa na mkurya. Story zingine za vijiweni muwe munaziacha huko huko.

"Eti ukienda Tarime au Serengeti wanawake wote wana makovu😂" sikawahi kukutana na mtu mzushi kama wewe toka huu Mwaka uanze
 
Habari zenu, husikeni na kichwa cha swali hapo juu,.

Niliwahi kumfatilia nikajua kazaliwa huko Dar maeneo ya Ukonga ila sijawahi kusikia kuna mzaramo anaitwa Chacha.

Kuna kijana hapa naona yupo na mdogo wangu wa kike kwa takribani mwaka na nusu sasa, kapata kazi idara flani na anaonesha nia ya kuoa, nimeona nimpigie ka reseach ka mapema.

Jinsi alivyo ni mrefu, mchangamfu kimtindo, ni msabato.

Ni watu wa wapi?
Ni kabila lipi?
Stereo types zao nzuri na Mbaya?
kama mdogo wako ana dharau mtahadharishe.
 
Back
Top Bottom